Get Visible with Lucia

  • Home
  • Get Visible with Lucia

Get Visible with Lucia Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Get Visible with Lucia, Community Service, .

New Beauty..
04/09/2026

New Beauty..

Umewahi kuondoka kwenye room halafu baadaye ukajiuliza, “Nilipaswa kubaki kidogo?”Sio kwa sababu ulikuwa na sehemu nying...
26/08/2026

Umewahi kuondoka kwenye room halafu baadaye ukajiuliza, “Nilipaswa kubaki kidogo?”

Sio kwa sababu ulikuwa na sehemu nyingine ya kwenda.

Sio kwa sababu hukuwa na kitu cha kuchangia.

Labda tu uliona, “Mimi nimefanya nilichokuja kufanya hapa.”

Lakini kadri ninavyoendelea kufanya kazi na leaders kwenye visibility, nimegundua kwamba kuna sehemu ya visibility ambayo mara nyingi tunaisahau:

Uwepo wetu.

Ni jinsi tunavyoshiriki.
Tunavyoungana au kuchangamana na watu.
Tunavyotengeneza nafasi za watu kutujua zaidi.
Na hata namna tunavyoamua kutumia zile dakika chache za ziada.

Kwa sababu opportunity haiji kila mara ikiwa imeandikwa **OPPORTUNITY.**

Wakati mwingine inakuja k**a conversation ya kawaida.
Mtu unayekutana naye wakati wa lunch.
Swali ambalo umeamua kuuliza.
Au perspective ambayo umeamua kushiriki.

Na hapa ndipo **intentionality** inapokuwa muhimu.

Kwa hiyo leo nakuuliza:

**Ni sehemu gani ya namna unavyojitokeza ambayo unahitaji kuanza kuiangalia kwa intention zaidi?**

Kukaa?
Kuzungumza?
Ku-connect?
Au labda kuruhusu watu wakufahamu zaidi?

**Ningependa kusikia kutoka kwako.** 👇🏾

10/08/2026

A productive session at HM Boardroom. 🛋️

We had a great time hosting Lucia Mwashala | Global Facilitator | Speaker | Visibility Coach, Founder of KuzaHub | Women Empowerment Platform for an insightful and engaging session.

Good conversations, new ideas and meaningful connections is exactly what the space is made for.

HM Boardroom is open for your next session.

📍 Kijitonyama, Dar es Salaam
📞 +255 753 451 671
📧 [email protected]

06/08/2026

Coaching haiishii kwenye session ya mwisho.

Kwa sababu ukuaji hauhitaji tu kujua nini cha kufanya unahitaji pia nafasi ya kutafakari, kuulizwa maswali sahihi, na kuwa na mtu anayekusaidia kuona kile ambacho huenda hujakiona wewe mwenyewe.

Mara nyingi tunakuwa karibu sana na safari yetu kiasi kwamba tunahitaji mtu wa kutusaidia kupata clarity, kuona fursa, na kubaki kwenye hatua tunazochagua kuchukua.

Ndiyo maana coaching ni muhimu. Sio kwa sababu huna uwezo, bali kwa sababu kila safari kubwa inahitaji mazingira yatakayokusaidia kukua kwa makusudi.

Maendeleo yanaendelea hata baada ya mazungumzo kuisha.

Nani alisema huwezi kujifunza kutoka kwa mteja wako?Leo nimeondoka kwenye mazungumzo yangu nikiwa nimebeba somo jipya.Ni...
05/08/2026

Nani alisema huwezi kujifunza kutoka kwa mteja wako?

Leo nimeondoka kwenye mazungumzo yangu nikiwa nimebeba somo jipya.

Nilipokuwa nikizungumza na mmoja kati ya client anayenipa furaha kwenye safari yake ya kujijenga na kuonekana zaidi Christine Nyamizi Mwanukuzi-Kwayu , alinieleza kuhusu uzoefu wake wa kushiriki kuandika kitabu pamoja na waandishi wengine.

Na nimejipatia copy yangu tayari..

Amenikumbusha kitu muhimu sana…

Mara nyingi tunasubiri fursa zitufuate, lakini ukweli ni kwamba fursa nyingi zinahitaji sisi kuzitafuta kwa makusudi.

Kuna watu wengi wenye maarifa, uzoefu na hadithi kubwa, lakini hazijaandikwa, hazijashirikishwa, na hazijafika kwa watu wanaoweza kunufaika nazo.

Kujenga urithi wako hakumaanishi lazima uanze na kitu kikubwa sana.

Wakati mwingine huanza kwa kuuliza:

“Ni wapi naweza kushiriki maarifa yangu?”
“Ni jukwaa gani linaweza kubeba sauti yangu?”
“Ni nini ninachoweza kuacha nyuma kupitia kazi yangu?”

Moja ya vitu ninavyopenda kuhusu safari hii ni kwamba kila mtu ninayekutana naye ana kitu cha kunifundisha pia.

Leo nilijifunza kitu kipya.

Na hili ni ukumbusho kwamba ukuaji hauishi hata unapokuwa unawaongoza wengine. ✨

Hongera sana kwa kazi unayoendelea kujenga. 🤍

03/08/2026

Nataka Kufuta Page Yangu…

01/08/2026

Hello, August! 🌿

New month. New mindset.

My first read this month is If I Perish, I Perish by Charles Nduku a reminder that some of the biggest decisions in life require courage before they make sense.

I’m curious…

What’s one thing you’ve been putting off because of fear?

Let’s make August the month we choose courage over comfort.

If you’re reading this book too, let’s compare notes throughout the month. 📖

Get your copy here Charles Nduku

Mwanzo wa wiki, ni rahisi kuandika list ya tasks.Lakini kwa mtu anayejenga influence, kuna task nyingine ambayo mara nyi...
27/07/2026

Mwanzo wa wiki, ni rahisi kuandika list ya tasks.

Lakini kwa mtu anayejenga influence, kuna task nyingine ambayo mara nyingi haionekani kwenye calendar:

Kuhakikisha market inaweza kuelewa value yako.

Hii haimaanishi ujisifie kila siku.

Inamaanisha usiache decision-makers wafanye guesswork.

Kuna nafasi ambazo hazikupiti kwa sababu huna uwezo.

Zinakupita kwa sababu:

jina lako halijaanza kuhusishwa na tatizo hilo,
ushahidi wako hauonekani,
narrative yako haijaonyesha level yako,
au watu hawajui uko tayari kwa hatua hiyo.

Strategic visibility ni kazi ya kupunguza umbali kati ya kile unachoweza kufanya na kile watu sahihi wanaelewa unaweza kufanya.

Huo umbali unapopungua, opportunities zinaanza kubadilika.

Siyo lazima ziwe nyingi.

Lakini zinaanza kuwa aligned na direction unayojenga.

Everyone is talking about AI.Everyone is talking about prompt engineering.Everyone is talking about technical skills.But...
22/07/2026

Everyone is talking about AI.

Everyone is talking about prompt engineering.

Everyone is talking about technical skills.

But the professionals getting the biggest opportunities in 2026 are winning because of a different set of skills.

Here are the expensive skills most high achievers are still overlooking:

• Strategic positioning — knowing what you should be known for instead of trying to be known for everything.

• Evidence building — your work is impressive, but can you prove it? Testimonials, case studies, measurable impact, thought leadership, and documented wins have become a new form of currency.

• Opportunity readiness — when someone asks for your profile, portfolio, speaker bio, media kit, or LinkedIn, are you ready in minutes or still saying, “I’ll send it later”?

• Decision communication — the ability to explain complex ideas with clarity. Brilliant people are often overlooked because they communicate like experts instead of decision-makers.

• Relationship capital — your next opportunity is less likely to come from another certificate and more likely to come from people who trust your work enough to recommend you.

• Visibility consistency — not posting every day, but showing up consistently enough that people remember your name when opportunities arise.

The workplace has changed.

Being excellent is no longer enough.

You also need to be discoverable, credible, and memorable.

That’s exactly why I created the Strategic Visibility & Positioning Masterclass.

Not for everyone.

It’s for professionals who already deliver results but are tired of watching less qualified people get the promotions, speaking invitations, partnerships, clients, and recognition.

Congratulations to Cohort 1. What we completed wasn’t the finish line but it was the beginning of becoming impossible to overlook.

Cohort 2 begins soon.

If you’re ready to stop being the best-kept secret in your industry, this is your room.

Virality inaweza kukufanya ujisikie unakua. Alignment ndiyo inakuambia k**a kweli unajenga.Baada ya post yangu ya jana, ...
21/07/2026

Virality inaweza kukufanya ujisikie unakua. Alignment ndiyo inakuambia k**a kweli unajenga.

Baada ya post yangu ya jana, niliona mazungumzo mengi yakihamia kwenye content pillars na niche.

Ni mazungumzo muhimu.

Lakini kuna swali ambalo nadhani tunapaswa kujiuliza kabla hata ya kuzungumzia content.

Attention unayoipata inaelekea wapi?

Kwa sababu attention si lengo.

Ni rasilimali.

Na k**a haina direction, inaweza kukupa hisia za ukuaji wakati biashara yako haijakaribia hata kidogo malengo yake.

Ndio maana sikuwa nazungumzia football.

Sikuwa nazungumzia content pillars.

Nilikuwa nazungumzia kitu ambacho professionals wengi, consultants na founders hukosea wanapojenga personal brands zao.

Wanachanganya attention na alignment.

Unaweza kupata maelfu ya views.

Unaweza kuongeza followers wengi.

Unaweza hata kwenda viral.

Lakini swali litabaki lilelile:

Je, attention hiyo imekuleta karibu na watu unaotaka kuwahudumia, kushirikiana nao au kujulikana nao?

Hapo ndipo strategy inaanza.

Na hapo ndipo wengi wetu tunahitaji kubadilisha kipimo cha mafanikio.

Siyo kila namba kubwa ni ushahidi wa ukuaji.

Wakati mwingine, ukuaji halisi unaonekana pale unapovutia watu wachache—lakini wanaoendana kabisa na direction ya maisha, taaluma au biashara unayojenga.

Hilo ndilo tofauti kati ya kuwaonekana na kuonekana na watu sahihi.

Na hilo ndilo tunalojenga ndani ya Strategic Positioning & Visibility Masterclass inayoanza 31 Julai.

Hatutafundisha tu namna ya kuonekana.

Tutakusaidia kujenga visibility inayokuvutia fursa, watu na mazungumzo yanayoendana na direction unayotaka kwenda.

💬 Unapopima mafanikio ya content yako, unapima attention au alignment?

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Get Visible with Lucia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization?

Share