Smart Generation Tanzania

Smart Generation Tanzania Jukwaa la kunoa kisu ukale nyama

BIG CONGRATULATION Tunampongeza   na Prism Communication kwa kuandika  historia kwa kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kush...
21/11/2024

BIG CONGRATULATION

Tunampongeza na Prism Communication kwa kuandika historia kwa kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kushinda tuzo iliyotolewa na Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa iliyofanyika nchini cameroon jumanne ya wiki hii,

Kutokana na juhudi zake katika kubuni na kutekeleza miradi ya manufaa kwa jamii, hasa kwenye sekta ya afya. Hii tuzo ni dedication kwa vijana smart wote Hongereni kwa mafanikio haya makubwa

MAISHA NI SAFARI : Siku K**a ya Leo Miaka Mingi iliyopita alizaliwa Game Changer, Boss na Brother kwa wakati mmoja, Kher...
10/09/2024

MAISHA NI SAFARI : Siku K**a ya Leo Miaka Mingi iliyopita alizaliwa Game Changer, Boss na Brother kwa wakati mmoja, Kheri ya Siku ya Kuzaliwa Mshua

Kila mtu na hadithi yake nzuri na hii ni moja ya hadithi nzuri ya anaamini kwenye uwezo wa mtu kwanza haijalishi elimu yako, Haijalishi umetokea wapi

Leo kwenye siku yako ya Kuzaliwa vijana wa kunoa visu tunayofuraha kukutakia Maisha Marefu na More Blessing Kwako πŸŽ‰ HAPPY BIRTHDAY BOSS +1

Cc:

BE SMART: Tupo hapa Dodoma Kwa Siku Kadhaa na Tumeshiriki kwenye Forum  iliyoandaliwa na Wizara ya maendeleo ya jamii, j...
05/09/2024

BE SMART: Tupo hapa Dodoma Kwa Siku Kadhaa na Tumeshiriki kwenye Forum iliyoandaliwa na Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, Watoto na Walemavu iliyokutanisha NGO's nyingi sana ( Local na International )

Kitu kikubwa kilichozungumzwa zaidi ni maendeleo ya local NGO's na Namna Gani wanaweza Kupata Funds na Kuziendesha vizuri Organization

Forum hii Inafanyika mara moja kila mwaka na mwaka huu imefanyika Dodoma, Moja ya Forum kubwa sana tuliyoweza kushiriki pamoja na NGO's zingine

Unatamani utuone tunashiriki event gani nyingine? Tuambie Kwenye Komenti hapo

Hivi ni kweli vijana hawana Furaha?? Kipi kinachosababisha vijana  kukosa furaha... Nasoma komenti zenu
22/08/2024

Hivi ni kweli vijana hawana Furaha?? Kipi kinachosababisha vijana kukosa furaha... Nasoma komenti zenu

Siku  ya vijana duniani ni maalumu kwaajili ya kuona  michango na juhudi zao, Kuwawezesha  na kushughulikia changamoto w...
12/08/2024

Siku ya vijana duniani ni maalumu kwaajili ya kuona michango na juhudi zao, Kuwawezesha na kushughulikia changamoto wanazokutana nazo

Smart Generation tunatambua jitihada wanazozifanya vijana kwenye maeneo mbalimbali ( Michezo, Afya, Burudani, Siasa , Jamii e.t.c )

Tunaendelea kuwakumbusha vijana wote wasisahau Kunoa Visu vyao , Happy International Youth Day

Naamini zipo picha na video zako za zamani ambazo ukiziangalia unashukuru hapa ulipo sasa na Kuongeza nguvu ya Kupambana...
07/08/2024

Naamini zipo picha na video zako za zamani ambazo ukiziangalia unashukuru hapa ulipo sasa na Kuongeza nguvu ya Kupambana

Vipo vitu ambavyo vilionekana haviwezekani kwa macho ya nyama lakini vikawezekana na tunaishi navyo

K**a line yako kwenye tweet yako uliyopost May 13,2020 Mida ya Saa tatu na dakika 9 Asubuhi , Miaka minne iliyopita inayosema " Badili kwanza Ghetto lako kabla hujafikiri kubadili Taifa lako"

Bonyeza Kitufe cha Kheri ya Kuzaliwa Mshua, Mkuu wa wilaya ya Kibaha ( Nikki wa Pili ) Happy Birthday Once AgainπŸ‘πŸΏ

Cc:

Inawezekana upo mtaani au popote pale kuna mchongo unausikilizia na bado hauelewi utakubali au utagoma Inawezekana umema...
07/08/2024

Inawezekana upo mtaani au popote pale kuna mchongo unausikilizia na bado hauelewi utakubali au utagoma

Inawezekana umemaliza chuo na ulikua na mipango mingi na bado haijatimia, Inawezekana umeshajikatia tamaa

K**a ilivyo rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano, Itashindikana vipi kufika unapopataka?

Utajiuliza ngamia anapitaje kwenye tundu la sindano? Ngamia yupi? Inawezekanaje hii?

Kuwa na Jicho la mwewe zoom mbali ila usipoteze Focus, Hatujali tumejaribu mara ngapi

Tutajaribu leo, Tutajaribu Kesho ipo siku tutajaribu itakubali k**a ulivyoshangaa ngamia kupita kwenye tundu la sindano

Basi tutashangaa na kujiuliza amewezaje? Kivipi? Kafanyaje kufika pale...

Good Morning MachampionsπŸ–πŸΏ

Hapo mnasemaje?
06/08/2024

Hapo mnasemaje?

WE ARE BACK (Swipe Left )Hata kalamu iliyojaa wino kuna muda inagoma, Hata Ufuto unaotumika Kufutia Kuna wakati unachafu...
05/08/2024

WE ARE BACK (Swipe Left )

Hata kalamu iliyojaa wino kuna muda inagoma, Hata Ufuto unaotumika Kufutia Kuna wakati unachafua

Hakuna kitakachobadilika Usipoamua,Masaa yanakimbia K**a Treni ya SGR
Usipokuwa Smart Kwa Machaguzi yako Sahihi, Hauwezi Kuwa Unachotaka

B TRIPPLE - BE HUMBLE , BE YOU, BE SMART

Happy Week, It's Monday

Kapu la Accountant limejaa leo Ushindwe wewe tu, Slide kwenye page ya   Deadline 17 July 2024
12/07/2024

Kapu la Accountant limejaa leo Ushindwe wewe tu, Slide kwenye page ya Deadline 17 July 2024

Wewe ni mkali wa Graphics Designer ?? Msosi upo mezani bado wamoto kabisa, Jipakulie unachoweza kwa idadi   Deadline 17 ...
12/07/2024

Wewe ni mkali wa Graphics Designer ?? Msosi upo mezani bado wamoto kabisa, Jipakulie unachoweza kwa idadi Deadline 17 July 2024

ππ‰πŽπŽ 𝐍𝐀 ππƒπŽπ“πŽ π˜π€πŠπŽ  πŒππŽπ‹π„π€ π“π”πŠπ€πŠπ”ππ€ π’πˆπ’πˆTunajua vijana wengi wanamaisha yao, Wanandoto zao  wanazoziota na kutamani kuzi...
16/04/2024

ππ‰πŽπŽ 𝐍𝐀 ππƒπŽπ“πŽ π˜π€πŠπŽ πŒππŽπ‹π„π€ π“π”πŠπ€πŠπ”ππ€ π’πˆπ’πˆ

Tunajua vijana wengi wanamaisha yao, Wanandoto zao wanazoziota na kutamani kuzitimiza kila siku

Imetufanya tuje na Workshop " π…π‘π€πŒπ„ 𝐓𝐇𝐄 𝐅𝐔𝐓𝐔𝐑𝐄" hii ni kwaajili ya kila kijana anayeamini kwenye ndoto na kipaji chake

Unatamani kuwa sehemu ya Workshop?! Chakufanya ni rahisi sana, Tuma Portfolio yako kwa Whatsapp +255 62020 7253

πŠπ„π’π‡πŽ π‡π€πˆπ–π„π™πˆ πŠπ”π–π€ π‹π„πŽπŸ™ŒπŸΏ

Address

C & G Plaza
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smart Generation Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Smart Generation Tanzania:

Share