18/03/2026
MKESHA WA MAOMBI
YESU NIHURUMIE
Mambo mengine yote umefanya mtu wa Mungu lakini hakuna matokeo, maelekezo ya wataalamu umefuata, maombi na sadaka umetoa lakini hakuna matokeo, Rafiki yangu ulichobakiza ni YESU AKUHURUMIE
HUU NI MKESHA WA KUHURUMIWA NA MUNGU
Wale tusio na vigezo, tusio na Sifa k**a wao tunahitaji HURUMA YA MUNGU
Sisi tuliochelewa, tusio na watu wa kutushika mkono tunahitaji HURUMA YA MUNGU
Sisi tuliolia sana bila msaada tunahitaji HURUMA YA MUNGU
KARIBU SANA KWENYE MKESHA KWENYE MAJIRA YA KWARESMA MUNGU ATAKUHURUMIA
“Bwana alipomwona alimwonea huruma, akamwambia, Usilie.”
— Luka 7:13
UKUMBI: SUMA JKT HALL- MWENGE
0764444900
HAKUNA KIINGILIO