20/08/2020
Ushirikishwaji wa vijana katika maeneo mbalimbali ya maendeleo unategemea kwa ukubwa ufahamu na ujuzi wao. Kwa sasa matumizi chanya ya teknolojia ya habari ni muhimu hivyo MediaSpace inajikita kutoa mafunzo haya kwa vijana Kisarawe.