Waters Of Life

Waters Of Life Reaching youths and transforming lives through shared experiences
(13)

08/07/2026

Ujumbe Maalum kwa Vijana Wote Walioko Makanisani

(Sikiliza Kabla Hujachelewa)

Pastor Joseph Makindi

MFUNGO WA SIKU 21 ZA MGEUKO MKUULEO IKIWA TUMEANZA MAOMBI MAALUMU YA KUFUNGA KWA SIKU 21 KWAAJILI YA KUUTAFUTA USO WA MU...
25/05/2026

MFUNGO WA SIKU 21 ZA MGEUKO MKUU

LEO IKIWA TUMEANZA MAOMBI MAALUMU YA KUFUNGA KWA SIKU 21 KWAAJILI YA KUUTAFUTA USO WA MUNGU, KUOMBEA MAISHA YETU KWAAJILI YA NUSU YA PILI YA MWAKA NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU KWA KINA.

KARIBU TUANZE KUOMBA PAMOJA SAA TISA KAMILI JIONI MPAKA SAA KUMI NA MBILI NA NUSU JIONI.

TUTAKUWA LIVE KWENYE MITANDAO YETU YA KIJAMII FACEBOOK, INSTAGRAM NA YOUTUBE KWA JINA LA Abc Global Church

SISI TUU ISHARA NA AJABU
Pastor Joseph Makindi

MWALIKO WANGU MAALUM KWAKOMtu mmoja aliniuliza, "Mtumishi unasoma Biblia hii hii tunayosoma sisi? Maana masomo yako yana...
22/05/2026

MWALIKO WANGU MAALUM KWAKO

Mtu mmoja aliniuliza, "Mtumishi unasoma Biblia hii hii tunayosoma sisi? Maana masomo yako yanachoma na mtu akiyasikiliza lazima awe wa tofauti! Je, ni nini kilichokufanya uwe hivyo mtumishi wa Mungu?"

Jibu langu hapa chini:

"Kilichonifanya kuwa nilivyo sio kusoma tu Biblia, ni kujua ninachojua na kukiishi, na sikujua kwa ndoto au maono, niliwekeza na ninawekeza muda mwingi kusoma na kufuatilia watumishi wa Mungu wenye matokeo kila mahali Afrika na nje ya Afrika!"

Nikaendelea,

"Ukisikiliza video zangu za mafundisho hata 500 hivi, na kila unalojifunza ukaamua kuliishi kwa dhati, utakuwa k**a mimi au zaidi maana humo nimeshare siri zote ninazojifunza za walio na matokeo kwenye maeneo yote ya maisha"

Mwaliko kwako mfuasi wangu mitandaoni kufuatilia masomo yangu kule Youtube ili ujionee nilichosema k**a ni kweli au la;

Kule Youtube ziko zaidi ya video 2500 za mafundisho yangu kwenye channel yangu ya Youtube ya "Pastor Dickson Cornel Kabigumila" ina subscriber 84.9k (watakuwa 85,000 masaa machache yajayo),

Bofya link hii chini itakupeleka kwenye Youtube yangu

https://youtube.com/?si=xVOfS1xt7WiXut2D

Kisha SUBSCRIBE na ANZA KUJILIA MASOMO kwa raha zako!
Bishop Dickson Cornel Kabigumila
22.05.2026

21/05/2026

Waters Of Life
ABC GLOBAL CHURCH

Rehearsal:-

"YOUR MERCY IS FOLLOWING ME EVERYTIME EVERYDAY"

19/05/2026

Waters Of Life

ABC GLOBAL CHURCH HQ
GOBA- KINZUDI DAR ES SALAAM

SPECIAL RETREAT CAMP APRIL 05.04.2026
05/04/2026

SPECIAL RETREAT CAMP
APRIL 05.04.2026


04/04/2026

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Waters Of Life posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share