Vodacom Tanzania Foundation

Vodacom Tanzania Foundation Addressing society's issues that Vodacom's technology can make a difference.

19/03/2026

Intentional inclusion means designing for dignity from the start.

At Sima Primary School in Bariadi, we designed sanitation improvements with every student in mind, especially those with special needs. These pit latrines weren’t built as an afterthought, they were purpose-built to ensure that access, dignity, and safety are standard, not special accommodations.

Inclusion means removing barriers so every child can move, learn, and grow with confidence. When we design with intention, we recognize that basic needs, such as safe, accessible sanitation, are foundational to learning itself.

This initiative, delivered in partnership with Twende Butiama and Stanbic Bank, demonstrates impact when organizations commit to building inclusion into every decision, from the ground up.


18/03/2026

Zamani tulikuwa tunapitia changamoto…”

Ni maneno ya mwanafunzi wa Shule ya Msingi Madaraka, Butiama, akisimulia hali waliokuwa wakikabiliana nayo kila siku shuleni.

Leo, simulizi hii inaanza kubadilika.

Kupitia ujenzi wa matundu ya vyoo vya kisasa wanafunzi sasa wana nafasi ya kujifunza katika mazingira salama, na safi. Mazingira yanayochangia si tu afya zao, bali pia kujiamini na uwezo wao wa kuzingatia masomo.

Mradi huu, uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Twende Butiama na Stanbic Bank, unaonyesha umuhimu wa kusikiliza mahitaji ya jamii na kutoa suluhisho zinazogusa maisha halisi.

16/03/2026

Wananchi 6,000 wamefikiwa na huduma za afya Kilosa, Morogoro.

Kwa siku nne, kupitia Kambi ya Afya ya Vodacom Tanzania Foundation, inayotekelezwa kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, wananchi walipata huduma za uchunguzi, ushauri na matibabu bila malipo.

Mpango huu unaendelea kuonyesha dhamira ya Vodacom Tanzania Foundation ya kusogeza huduma muhimu za afya karibu na jamii na kuhamasisha uchunguzi wa mapema kwa afya bora.

13/03/2026

Kwa siku tatu zilizopita, wananchi wa Kilosa na maeneo jirani wameendelea kujitokeza katika Kambi ya Afya ya Bure ya Vodacom Tanzania Foundation, inayotekelezwa kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Kupitia uchunguzi, ushauri na matibabu yanayotolewa, madaktari wanaendelea kusisitiza umuhimu wa kupima afya mapema, hasa kwa changamoto zinazojitokeza mara kwa mara k**a magonjwa ya figo, shinikizo la damu na kisukari.

K**a bado hujafika, leo ndiyo siku ya mwisho. Karibu upime afya yako.

12/03/2026

Je, wajua?
Shinikizo la damu na kisukari ni miongoni mwa magonjwa yasiyoambukiza yanayoathiri watu wengi, mara nyingi bila dalili za mapema.

Hali hii inaonekana wazi katika Kambi ya Afya ya Bure ya Vodacom Tanzania Foundation inayofanyika Kilosa, Morogoro, kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Ndani ya siku mbili tu, zaidi ya wananchi 2,500 tayari wamepata huduma mbalimbali za afya, huku madaktari wakiona changamoto zinazojirudia k**a magonjwa ya macho, ngozi, shinikizo la damu na kisukari.

Kambi hiyo pia ilipata ugeni wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, ambaye alipongeza mpango huu na ushirikiano uliowezesha huduma muhimu za afya kuwafikia wananchi karibu zaidi.

πŸ“ Viwanja vya Shule ya Kilosa, Morogoro
πŸ—“ 10–13 Machi

Kupima mapema na kupata huduma kwa wakati kunaweza kubadilisha maisha.

Kidney disease is often called a β€œsilent condition.”In Tanzania, many cases of kidney disease are linked to hypertension...
12/03/2026

Kidney disease is often called a β€œsilent condition.”

In Tanzania, many cases of kidney disease are linked to hypertension and diabetes, two of the most common non-communicable diseases. The challenge is that symptoms often appear late, making early screening and awareness critical.

This week in Kilosa, Morogoro, Vodacom Tanzania Foundation, together with specialist doctors from Muhimbili National Hospital, is bringing these services closer to the community through a Free Medical Camp.

Through screening, consultations and treatment services, the initiative helps communities detect risks early, access care and prevent serious health complications.

πŸ“ Kilosa School Grounds, Morogoro
πŸ—“ 10–13 March
🩺 Free screenings β€’ Consultations β€’ Treatment



12/03/2026

Morogoro, tumewasili!

Kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Vodacom Tanzania Foundation inaleta Kambi ya Afya ya Bure ili kusogeza huduma muhimu za afya karibu na wananchi.

πŸ“ Viwanja vya Shule ya Kilosa, Morogoro
πŸ“… 10–14 Machi

Karibu upime afya yako, ujue hali yako ya afya.

11/03/2026

Uboreshaji wa miundombinu ya usafi shuleni ni muhimu katika kuimarisha afya ya wanafunzi na kuwapatia mazingira yanayowawezesha kujifunza kwa utulivu, heshima na kujiamini.

Hivi karibuni tulikabidhi rasmi matundu ya vyoo 10 vilivyojengwa katika Shule ya Msingi Mkata, hatua inayolenga kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi na kuhakikisha wanapata huduma salama na bora za usafi shuleni.

Mradi huu umefanikishwa kwa ushirikiano wa Twende Butiama na Stanbic Bank, ukiwa ni sehemu ya juhudi za pamoja za kuunga mkono elimu na maendeleo ya jamii.


Baada ya kufanikisha Kambi ya Afya ya Bure Zanzibar, sasa tunaelekea Morogoro.Kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutok...
09/03/2026

Baada ya kufanikisha Kambi ya Afya ya Bure Zanzibar, sasa tunaelekea Morogoro.

Kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Vodacom Tanzania Foundation inaleta tena huduma za uchunguzi na matibabu bila malipo ili kusogeza huduma muhimu za afya karibu na wananchi.

πŸ“ Viwanja vya Shule ya Kilosa Mjini – Morogoro
πŸ“… Machi 10–13, 2026

Karibu upime ujue hali yako ya afya.

Baada ya kufanikisha Kambi ya Afya ya Bure Zanzibar, sasa tunaelekea Morogoro.Kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutok...
09/03/2026

Baada ya kufanikisha Kambi ya Afya ya Bure Zanzibar, sasa tunaelekea Morogoro.

Kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Vodacom Tanzania Foundation inaleta tena huduma za uchunguzi na matibabu bila malipo ili kusogeza huduma muhimu za afya karibu na wananchi.

πŸ“ Viwanja vya Shule ya Kilosa Mjini – Morogoro
πŸ“… Machi 10–14, 2026

Karibu upime afya yako, ujue hali yako ya afya.

Address

Ursino Steet
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vodacom Tanzania Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share