Maasai Community Culture Reserve Foundation

Maasai Community Culture Reserve Foundation Dedicated in preserving and promoting the rich cultural heritage of the Maasai community.

Join us in our mission to empower the Maasai people through education, cultural preservation, and sustainable development. The Maasai Culture Reserve Centre (MCRC) is dedicated to preserving and promoting the rich cultural heritage of the Maasai community.

📌KIKAO CHA KIMILA – 6 JANUARY 2026Taasisi ya MAASAI COMMUNITY CULTURE RESERVE FOUNDATION ilifanya kikao muhimu cha kimil...
08/01/2026

📌KIKAO CHA KIMILA – 6 JANUARY 2026
Taasisi ya MAASAI COMMUNITY CULTURE RESERVE FOUNDATION ilifanya kikao muhimu cha kimila siku ya Jumanne tarehe 6 Januari 2026, ambapo wajumbe na viongozi wa kimila walikaa pamoja kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa taasisi yetu na jamii kwa ujumla.
Katika kikao hicho, mjadala mpana ulifanyika kuhusu maandalizi ya sinema maalum inayolenga kushirikiana na Serikali katika kutafuta na kuangazia kwa kina chanzo cha ukeketaji kwa watoto wa k**e, ikiwa ni sehemu ya mapambano ya kulinda haki na usalama wa mtoto wa k**e. Kwa furaha kubwa, mpango huu unaelekea kufikia tamati muda si mrefu ujao.
Aidha, taasisi ya Safari Channel imeonesha dhamira ya dhati kwa kuomba kushirikiana na MAASAI COMMUNITY CULTURE RESERVE FOUNDATION, na kuahidi kutoa ushirikiano na msaada wao katika kila hatua hadi kufikia tamati ya mradi huu muhimu. Viongozi wa kimila hawakusita kutoa pongezi za dhati kwa Safari Channel kwa moyo wao wa kujitolea, ushirikiano na sapoti waliyoendelea kuitoa.
🙏 Tunawashukuru wadau wote kwa kuendelea kuwa nasi katika safari hii ya kulinda mila, utamaduni na haki za mtoto wa k**e.
📢 Endelea kuwa nasi tukiendelea kukujuza hatua kwa hatua kuhusu yote yatakayojiri.




.

Address

Mawege – Mbala, Chamakweza Village, Vigwaza Ward, Chalinze – Bagamoyo, Coast Region, Tanzania, East Africa
Chalinze

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maasai Community Culture Reserve Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share