Zyco Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zyco, Non-Governmental Organization (NGO), Miembeni, Chake Chake.

In partnership with key stakeholders, we mobilize, advocate for and empower youth in health, entrepreneurship, gender justice, policy & civic action, governance, and climate resilience.

Je uko tayari kubadilisha maisha yako?_Jiunge nasi kujifunza πŸ‘‡πŸŽ― Jinsi ya Kuanzisha biashara🎯 Ubunifu wa Mawazo ya Biasha...
30/04/2026

Je uko tayari kubadilisha maisha yako?
_

Jiunge nasi kujifunza πŸ‘‡

🎯 Jinsi ya Kuanzisha biashara

🎯 Ubunifu wa Mawazo ya Biashara

🎯 Usimamizi wa Fedha

🎯 Fursa za kujiajiri

_Kijana Imara, Jamii Imara_






Heri ya Siku ya Muungano 26, Aprilia 2026. Tunajivunia Muungano wetu Miaka 62."Amani, Umoja na Mshik**ano ndio Msingi wa...
26/04/2026

Heri ya Siku ya Muungano 26, Aprilia 2026. Tunajivunia Muungano wetu Miaka 62.

"Amani, Umoja na Mshik**ano ndio Msingi wa Maendeleo ya Taifa letu"






Tips 3 za Kujenga Kujiamini kwa Kijana!🎯 Jikubali k**a ulivyo, wacha kujilinganisha na Wengine,       kila mtu ana safar...
23/04/2026

Tips 3 za Kujenga Kujiamini kwa Kijana!

🎯 Jikubali k**a ulivyo, wacha kujilinganisha na Wengine,
kila mtu ana safari yake.

🎯 Jifunze na fanya mazoezi, maarifa yanaongeza uwezo
na kujiamini.

🎯 Kabiliana na hofu kidogo kidogo, anza hatua ndogo,
utaimarika polepole.
_






A future driven by empowered youth starts here β€” through partnership, advocacy, and action in health, economic empowerme...
21/04/2026

A future driven by empowered youth starts here β€” through partnership, advocacy, and action in health, economic empowerment,gender equality, governance, and environmental sustainability.

-







We believe in a future where every young person is socially and economically empowered to reach their full potential.Joi...
19/04/2026

We believe in a future where every young person is socially and economically empowered to reach their full potential.

Join us in making it a reality. 🌟


Taasisi ya Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO) inaungana na Watanzania wote katika Kumbukizi ya kifo cha Rais wa kwa...
07/04/2026

Taasisi ya Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO) inaungana na Watanzania wote katika Kumbukizi ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume.

Taasisi ya ZYCO kupitia Mradi wa Kujumuisha Usimamizi wa taka Unaotegemea Jamii katika Maendeleo Endelevu ya Miji Wilaya...
04/04/2026

Taasisi ya ZYCO kupitia Mradi wa Kujumuisha Usimamizi wa taka Unaotegemea Jamii katika Maendeleo Endelevu ya Miji Wilaya ya Chake Chake, imefanya kikao shirikishi chenye michezo ya Kuigiza kuhusu Usafi wa Maji na Mazingira.

Warsha hii ya WASH ya siku moja imekutanisha Wadau Mbalimbali kutoka Shehia ya Tibirinzi ikijumuisha Vijana, Wanawake, Walemavu na Viongozi wa Dini.

Mradi huu unatekelezwa na taasisi ya ZYCO Kwa ufadhili wa Mpango wa Kijani Pemba (EU) kupitia LVIA, We World na PIRO.
_







ZYCO wakiwa katika Utekelezaji wa Mradi wa Kuwaunganisha Vijana na Wanaoishi na VVU katika Huduma za Kinga na Tiba, amba...
31/03/2026

ZYCO wakiwa katika Utekelezaji wa Mradi wa Kuwaunganisha Vijana na Wanaoishi na VVU katika Huduma za Kinga na Tiba, ambapo Huduma ya Upimaji wa VVU na Elimu ya Kinga kupitia Kliniki Tembezi imeendelea kutolewa katika Shehia ya MBUZINI, Wilaya ya Chake Chake, Kusini Pemba.

_







Uongozi na Wafanyakazi wa Zanzibar Youth Care Organization unawatakia Waislam wote Eid Mubarak!"Tusherekee kwa Amani"_
22/03/2026

Uongozi na Wafanyakazi wa Zanzibar Youth Care Organization unawatakia Waislam wote Eid Mubarak!

"Tusherekee kwa Amani"
_





Taasisi ya Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO) imefanya Mafunzo ya siku moja kwa Watekelezaji wa Mradi ambao ni Vija...
19/03/2026

Taasisi ya Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO) imefanya Mafunzo ya siku moja kwa Watekelezaji wa Mradi ambao ni Vijara Waelimishaju Rika ili waweze kuongeza maarifa na ujuzi katika Utendaji wa Majukumu yao ya kila siku k**a inavyopaswa.

Miongoni mwa mada zilizofundishwa ni pamoja na Afya ya Uzazi (SRHR), Uzazi wa Mpango (Family Planning), VVU na Lishe.

Lengo la Mafunzo hayo ni kuwaongezea maarifa na ujuzi wa kuweza Kuwafikia Vijana wenzao na kuwafikishia elimu waliyoipata ili waweze kuwa Vijana imara, wazalendo, watiifu na waaminifu kwa jamii zao na Taifa kwa Ujumla.

Mradi huu unatekelezwa na ZYCO Kwa udhamini wa Ofisi ya Ubalozi wa Marekani.

_






Taasisi ya Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO), leo tarehe 15/03/2026 imeendelea na Utekelezaji wa Mradi wa Kuwaunga...
15/03/2026

Taasisi ya Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO), leo tarehe 15/03/2026 imeendelea na Utekelezaji wa Mradi wa Kuwaunganisha Vijana na Wanaoishi na VVU katika Huduma za Kinga na Tiba, Kupitia Mafunzo ya Siku moja kwa Wakunga wa Jadi na Viongozi wa Dini kutoka katika Wilaya ya Chake na Mkoani, Kusini Pemba.

Mafunzo hayo yalijikita katika Kupokea Mrejesho wa Kazi ya Kuwafikia Wanajamii katika hatua ya Kuwapatia Elimu hii.



_





Address

Miembeni
Chake Chake
24

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zyco posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share