Sikio la haki za jamii

Sikio la haki za jamii Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sikio la haki za jamii, Nonprofit Organization, Bagamoyo.

Taasisi ya kijamii inayojihusishs na kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto,kutoa elimu mashuleni,kuibua changamoto za jamii,kuhamasisha kujikinga na HIV,na kuelimisha vijana kuhusu kujitambua pamoja na kuhamasisha mila bora za kitanzania

Mazingira safi ni haki ya kila kiumbe. Taasisi yetu inasimama imara kutetea uhifadhi wa mazingira, kupanda miti, na kuli...
30/05/2026

Mazingira safi ni haki ya kila kiumbe. Taasisi yetu inasimama imara kutetea uhifadhi wa mazingira, kupanda miti, na kulinda vyanzo vya maji kwa ajili ya kizazi cha sasa na cha baadaye. Sauti yetu, mazingira yetu, haki yetu."

MZAZI AU MLEZI KUWA MDAU MUHIMU WA KUIYOKOA JAMII KATIKA KUPINGA UKATILI EPUKA KUKAA KIMYA PINDI UNAPOONA UKATILI UNATOK...
27/05/2026

MZAZI AU MLEZI KUWA MDAU MUHIMU WA KUIYOKOA JAMII KATIKA KUPINGA UKATILI EPUKA KUKAA KIMYA PINDI UNAPOONA UKATILI UNATOKEA KUWA MDAU JASIRI PAZA SAUTI ILI HAKI ITENDEKE KWA SABABU UKATILI SIO KITU SALAMA KATIKA MAISHA YETU ILINDE JAMII ILI IJE IWE JAMII BORA NA ISIYOKUWA MZIGO KWA TAIFA LETU

MUNGU ATUJALIE TUWE NI WENYE AFYA NJEMA NA KWA WAGONJWA MUNGU AWAPONYE KWA BARAKA ZAKE EID MUBARA EVER
27/05/2026

MUNGU ATUJALIE TUWE NI WENYE AFYA NJEMA NA KWA WAGONJWA MUNGU AWAPONYE KWA BARAKA ZAKE EID MUBARA EVER

TUNAHAKI NA WAJIBU WA KUISHI NA JAMII KWA UPENDO NA HESHIMA KWA SABABU JAMII YENYE UPENDO UKATILI HUKAA MBALI
23/05/2026

TUNAHAKI NA WAJIBU WA KUISHI NA JAMII KWA UPENDO NA HESHIMA KWA SABABU JAMII YENYE UPENDO UKATILI HUKAA MBALI

🌹 HERI YA SIKU YA MAMA DUNIANI 🌹Mama ni moyo wa familia, taa ya upendo, na nguzo ya maisha yetu. Leo tunawapongeza na ku...
11/05/2026

🌹 HERI YA SIKU YA MAMA DUNIANI 🌹

Mama ni moyo wa familia, taa ya upendo, na nguzo ya maisha yetu. Leo tunawapongeza na kuwashukuru mama wote duniani kwa kujitoa, uvumilivu, na mapenzi yasiyo na mwisho.

Kwa kila tabasamu la mama, dunia hupata matumaini mapya. Mungu awabariki mama wote kwa afya njema, furaha, amani, na maisha marefu.

“Asante Mama kwa upendo wako wa kweli, malezi yako, na nguvu zako za kutusimamia katika kila hatua ya maisha.”

🌷 Heri ya Siku ya Mama Duniani 🌷

06/05/2026

KUELEKEA SIKU YA MAMA DUNIANI AMBAYO NI TAREHE 10/5/2026 UNALIPI LA KUMWAMBIA MAMA AU SHUJAA ALIE KUZAA NAKUKUPATIA UPENDO NA MALEZI BORA

Maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani 🌸Siku ya Mama Duniani ni siku maalum ya kuwatambua na kuwathamini kina mama wote kwa...
06/05/2026

Maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani 🌸
Siku ya Mama Duniani ni siku maalum ya kuwatambua na kuwathamini kina mama wote kwa mchango wao mkubwa katika familia na jamii kwa ujumla. Mama ni nguzo ya upendo, malezi, na maadili—ndiye anayejenga msingi wa kizazi bora cha kesho.
Tarehe 10 Mei 2026, sisis k**a taasisi ya SIKIO LA HAKI ZA JAMII tunaungana na dunia nzima kusherehekea nguvu, uvumilivu, na kujitoa kwa mama katika kila hatua ya maisha. Ni siku ya kusema asante kwa mapenzi yao yasiyo na mipaka, na pia kutambua changamoto wanazokutana nazo kila siku.
Kupitia maadhimisho haya, tunahimiza:
Kuthamini na kuheshimu haki za wanawake na kina mama
Kupinga ukatili wa kijinsia
Kutoa msaada na elimu kwa mama na watoto
Kujenga jamii salama na yenye usawa kwa wote
Mama si tu mzazi, bali ni mlezi, mshauri, na kiongozi wa familia na jamii. Kila sauti ya mama isikike, kila haki ilindwe. ASANTENI SANA MAMA WOTE DUNIANI NYINYI NIMAKOMANDO WA K**E

TULINDE NA KUTUNZA MAZINGIRA YETU 🌿Mazingira ni uhai wetu. Bila mazingira safi na salama, hakuna afya wala maendeleo. Ni...
03/05/2026

TULINDE NA KUTUNZA MAZINGIRA YETU 🌿
Mazingira ni uhai wetu. Bila mazingira safi na salama, hakuna afya wala maendeleo. Ni wajibu wetu sote kuhakikisha tunalinda miti, maji, hewa na ardhi kwa ajili ya sasa na vizazi vijavyo.
🌱 Panda miti zaidi
🚯 Epuka uchafuzi wa mazingira
💧 Linda vyanzo vya maji
♻️ Tumia tena na punguza taka
Kila hatua ndogo inaleta mabadiliko makubwa.
💬 “Mazingira safi ni afya ya jamii yenye nguvu”
Tushirikiane kujenga dunia bora kwa wote 🌍

Address

Bagamoyo
S.L.P59

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sikio la haki za jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share