Mviwama

Mviwama Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mviwama, Community Organization, Stendi ya Mahak**a, Barabara ya Dodoma, Babati.

MVIWAMA - Mtandao wa Vikundi vya Wakulima na Wafugaji wa Mkoa wa Manyara (Regional Network of Farmers' Groups in Manyara)
Ni Jumuiya wa Wanachama inayolenga kutetea maslahi ya wakulima (wazalishaji wa mazao ya mimea, mifugo na samaki) wadogo.

From Limited Capital to Greater Financial Opportunities.We are encouraged to see women pastoralists in Simanjiro and Kit...
31/08/2026

From Limited Capital to Greater Financial Opportunities.

We are encouraged to see women pastoralists in Simanjiro and Kiteto embracing Community Microfinance Groups as a pathway to expanding livestock activities, growing small businesses, and building financial resilience.
..What started with the mobilization of just 2 groups has now grown to 10 groups, benefiting more than 220 members.
..Members are buying shares, saving regularly, and accessing affordable loans at low interest rates.
..As members repay, the money continues to circulate within the groups—creating an ongoing source of capital for investment and business growth.
..This legally recognized community-based financial model was introduced to help address
..one of the major challenges facing rural communities, limited access to capital.

And we are not stopping at 220.

Our continued mobilization aims to double the number of beneficiaries to more than 440 members,
..creating opportunities for more women pastoralists to save, invest, access finance, and strengthen their livelihoods.

Through the implementation of the REDAA Programme,
..we are also putting mechanisms in place to strengthen the governance, financial management and sustainability of these groups,
..ensuring they remain functional and beneficial to their members beyond the project period.

When women have access to capital, they gain greater power to invest, grow and shape the future of their families and communities.

📍Simanjiro



#ᴡᴏᴍᴇɴᴇᴍᴘᴏᴡᴇʀᴍᴇɴᴛ

From Yaoundé, Cameroon 🇨🇲🌍 Advancing Land, Justice and Food Sovereignty in the Congo basinMr. Valentine Ngorisa, MVIWAMA...
27/08/2026

From Yaoundé, Cameroon 🇨🇲🌍 Advancing Land, Justice and Food Sovereignty in the Congo basin

Mr. Valentine Ngorisa, MVIWAMA Coordinator, is participating in the Second Congo Basin Convening 2026, held from 25–27 August in Yaoundé, Cameroon.

The minister of Agriculture and Rural Development of Cameroon, Honorable Gabriel Bairobé was the guest of honor.

The convening brings together African actors to discuss land rights, agroecology, food sovereignty, biodiversity and climate justice across the Congo Basin.

Discussions are highlighting the importance of protecting community land rights, strengthening the recognition of customary land tenure, ensuring meaningful participation of women and youth, and promoting inclusive land-use planning.

For SHIWAKUTA, this is an opportunity to share experiences from Tanzania, learn from communities across Africa, and strengthen collective action for secure land rights, sustainable food systems and resilient communities. 🌱🤝🏾

Secure land. Protect nature. Strengthen communities. Build food sovereignty.
Alliance 4 Food Sov. in Africa MVIWAARUSHA MVIWAMA Valentin Ngorisa

🌳💚Hii ndiyo nguvu ya KISIKI HAI (Farmer Managed Natural Regeneration) badala ya kupanda mti kutoka sifuri, tunachagua ku...
25/08/2026

🌳💚Hii ndiyo nguvu ya KISIKI HAI (Farmer Managed Natural Regeneration) badala ya kupanda mti kutoka sifuri, tunachagua kutunza na kurejesha ile iliyopo tayari 🌱

🌱 ndani ya muda mfupi tu mti huu umekua kwa kasi na kuwa sehemu ya mazingira yanayorejea katika uhai wake.

Tunaona matokeo ya juhudi za urejeshaji wa mazingira katika uasili wake kwa mbinu rahisi ya KISIKI HAI 🌳
📍Mlimani Secondary, Endagaw 🇹🇿
Supported with

MAFUNZO YA EX-ACT | Kupitia mradi wa REDAA Maafisa ugani wetu  wanashiriki mafunzo ya kivitendo ya kutumia nyenzo ya EX-...
24/08/2026

MAFUNZO YA EX-ACT | Kupitia mradi wa REDAA Maafisa ugani wetu wanashiriki mafunzo ya kivitendo ya kutumia nyenzo ya EX-ACT (Environmental eXternalities ACcounting Tool)
..yanayotolewa na Adrian Monge, mtaalamu wa masuala ya tabianchi na uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi kutoka FFD Finland
..Maafisa ugani hawa wanajengewa uwezo wa kukadiria na kufuatilia uzalishaji wa gesi joto (GHG)
..na uwiano wa kaboni katika shughuli za kilimo, misitu na matumizi ya ardhi.

Ujuzi huu utatumika katika utekelezaji, ufuatiliaji na upimaji wa matokeo ya kimazingira na tabianchi katika mradi wa REDAA.

Mafunzo haya yamewezeshwa kupitia mradi wa REDAA unaofadhiliwa na

The FAO team visited the Muungano Beekeeping Group in Bashay, beneficiaries of FAO’s Direct Beneficiary Grants...Through...
19/08/2026

The FAO team visited the Muungano Beekeeping Group in Bashay, beneficiaries of FAO’s Direct Beneficiary Grants.
..Through this support, the group has established a Honey Processing Centre in Bashay
..which is now fully operational and benefiting beekeepers from Bashay Village by enabling them to add value to honey and produce various honey-based products.
..the members have also established a vegetable garden to diversify their income sources,
..strengthen their livelihoods and build resilience to the impacts of climate change.


Tumekutana MVIWAMA na mashirika mengine jijini Arusha kwa ajili ya kupokea ripoti ya tathmini ya mradi wa HUSISHA iliyof...
17/08/2026

Tumekutana MVIWAMA na mashirika mengine jijini Arusha kwa ajili ya kupokea ripoti ya tathmini ya mradi wa HUSISHA iliyofanywa na consultancy agency SKOA limited kupitia Trias

kwa lengo la kuhakiki uhalisia wa taarifa iliyotolewa ya matokeo ya utekelezaji wa mradi huo tangu mwaka 2021 ulipoanza.

Tumepokea mawasilisho na ripoti hiyo kutoka kwa SKOA ltd ili kuchukua hatua za kuboresha kwa faida kwa wanachama na uendelevu.

MVIWAMA tulifanya tathmini hiyo na SKOA wilayani Babati, na Hanang katika maeneo ya mradi wa HUSISHA.


Wanachama wa MVIWAMA ambao ni vijana wajasiriamali wakiwa katika maonesho ya bidhaa wakionesha ubunifu katika kuongeza t...
13/08/2026

Wanachama wa MVIWAMA ambao ni vijana wajasiriamali wakiwa katika maonesho ya bidhaa wakionesha ubunifu katika kuongeza thamani bidhaa zao katika siku ya vijana Kimataifa iliyofanyika jana huku mjini Arusha.

MVIWAMA iliwakilishwa na wajasiriamali vijana kutoka Kiteto Dairy Cooperative na Eden Group
.tarimo

✨  "Tunatamani kuendelea kuona vijana wakiongoza uchumi si tu kupata mahitaji"..Kauli hiyo imesemwa na Ritha Tarimo Mkur...
12/08/2026

✨ "Tunatamani kuendelea kuona vijana wakiongoza uchumi si tu kupata mahitaji"
..Kauli hiyo imesemwa na Ritha Tarimo Mkurugenzi wa TRIAS Tanzania katika hafla ya siku ya vijana duniani iliyofanyika jijini Arusha,
..ambayo tumewakilishwa na wanachama wajasiriamali 5 waliojumuika na wengine 60 kutoka mashirika mengine.
..Ritha amehimiza kuwa wasikubali kuitwa vijana wa kesho bali ni vijana wa leo
.. k**a kijana wa leo akiogopa kufuatia maono yake atapoteza nguvu kwa kutumikia wengine.
..Hivyo siku hii maalumu ni kutambua nguvu, ubunifu, uwezo na uongozi wa vijana katika kukuza maendeleo
..na kukuza dhamira ya kuleta mabadiliko ya kweli katika maisha.

Tuko hapa kwa siku moja ya leo tukijifunza kutoka kwa vijana wenzetu na kujenga mtandao mzuri wa fursa.


Kwa heshima kubwa tumetembelewa na Mhe. Mizengo Pinda (Waziri Mkuu Mstaafu)   katika banda letu la SHIWAKUTA hapa Nanena...
06/08/2026

Kwa heshima kubwa tumetembelewa na Mhe. Mizengo Pinda (Waziri Mkuu Mstaafu) katika banda letu la SHIWAKUTA hapa Nanenane Dodoma.
..amepata kuona bidhaa za wakulima wetu na wasindikaji wa bidhaa mbalimbali
..pia ameunga mkono juhudi za wanachama wetu kwa kununua bidhaa zao.
..Hii ni nafasi ya pekee kwa wakulima wetu kutambulika na kujulikana kwa kazi zao.

🌽🌻Tunaendelea na Maonesho ya NaneNane hapa Jijini Dodoma.Maonesho ya Nanenane ni mahali ambapo wakulima wetu wanakutana ...
06/08/2026

🌽🌻Tunaendelea na Maonesho ya NaneNane hapa Jijini Dodoma.

Maonesho ya Nanenane ni mahali ambapo wakulima wetu wanakutana na wateja wapya wa bidhaa zao na kuuza kwa tija.

Tunazungumza na wateja wetu kuwaelimisha na kupata mtandao mpana zaidi wa wateja wetu.

📍Nzuguni, Dodoma


Address

Stendi Ya Mahak**a, Barabara Ya Dodoma
Babati
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

0788466966

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mviwama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share