07/08/2024
✨️Last week, we visited Moshono and Wema schools to establish Empowerment Clubs aimed at uniting students and educating them about menstrual health and life skills.
These clubs consist of around 80 students from grades 5, 6, and 7. It was a surreal experience to see the students' happiness as they interacted and shared their excitement about the formation of these clubs.
We hope these clubs will foster healthy discussions on menstrual health and other important topics among both girls and boys.
................................................
Wiki iliyopita, tulianzisha Vilabu vya Uwezeshaji (empowerment) katika shule za Moshono na Wema kwa lengo la kuwaelimisha wanafunzi kuhusu afya ya hedhi na stadi za maisha.
Vilabu hivi vina takriban wanafunzi 80 kutoka darasa la 5, 6, na 7 kila shule. Furaha ya wanafunzi ilionekana wazi waliposhiriki shauku yao kuhusu vilabu hivi.
Tunatumai kwamba vilabu hivi vitawahamasisha wasichana na wavulana kuwa na mijadala inayoelimisha kuhusu afya ya hedhi na masuala mengine muhimu.