Emanyata sec school

Emanyata sec school Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emanyata sec school, Community Service, OLOLOSOKWAN, NGORONGORO, Arusha.

Leo namleta kwenu kijana mwenzetu mpambanaji na hachoki kutafuta nguvu ya wino wa kalamu sema tu walimu wake walishindwa...
28/11/2025

Leo namleta kwenu kijana mwenzetu mpambanaji na hachoki kutafuta nguvu ya wino wa kalamu sema tu walimu wake walishindwa kumbadilisha Kwenye swala la mwandiko ila yeye ukimuuliza kuhusu mwandiko anakwambia mwandiko sio lolote na Chochote kwake , anakwambia Cha msingi kwake ni kiwango Cha uelewa na kujenga hoja na kupresent uwelewa huo Kwa njia ya speech na sio maandishi

Anyway *hayawi hayawi sasa yamekua* na *Wahenga nao hawaamini macho yao* kijana wetu sasa baada ya darasa letu la 2018 kumpa Jina la *Lawyer* sasa maono ya Class of 2018 yanakwenda kutimia.

Hapa ni baada ya kutunukiwa Degree yake ya kwanza ya sheria na safari ndio kwanza inaanza kuelekea Law school yaani shule ya sheria Kwa vitendo yanayotarajiwa kuanza mwezi January, 2026.

Tumtakie kila lililo jema Kwenye safari yake ya mapambano Kwa masilahi mapana ya Jamii yetu na Tanzania Kwa ujumla

By k***a Mebwanya.

Ahsanteni sana wadau wetu wote walio weka Nguvu kufikia haya wazazi, wanafunzi pamoja na watumishi wote wa ESS 2024.
23/01/2025

Ahsanteni sana wadau wetu wote walio weka Nguvu kufikia haya wazazi, wanafunzi pamoja na watumishi wote wa ESS 2024.

MAHAFALI YA 27 EMANYATA SECONDARY SCHOOL 🏫  ILIKUWA 04/10/2024.
06/10/2024

MAHAFALI YA 27 EMANYATA SECONDARY SCHOOL 🏫 ILIKUWA 04/10/2024.

https://chat.whatsapp.com/ISKBLS4y2l1Az7q3xsQqk8. Ndugu jamaa na marafiki wa Emanyata Secondary School karibuni sana kwe...
04/09/2024

https://chat.whatsapp.com/ISKBLS4y2l1Az7q3xsQqk8.

Ndugu jamaa na marafiki wa Emanyata Secondary School karibuni sana kwenye group la wana Emanyata tangu shule imeanzishwa 1993.

Na kuanza kupata wahitimu wa kwanza 1996 hadi 2023. Hivyo link hapo juu ni Group la whatapp inayo tuunganisha sisi wote wa miaka tafauti tofauti tulio bahati kupitia kiwanda hiki cha Elima na kufanikiwa kuwa maeneo mbalimbali ya nchi yetu na dunia kwa ujumla.

Karibu sana.

Habari za leo Emanyata Alumni 1996-2024. naomba kila mmoja aniandikie majina yake kamili na namba ya simu, chuo uliosoma...
22/08/2024

Habari za leo Emanyata Alumni 1996-2024. naomba kila mmoja aniandikie majina yake kamili na namba ya simu, chuo uliosoma na kozi uliosomea na k**a tayari upo kazini pia tuandikie.

Yote hayo ni kwa ajili ya kuweka kumbukumbu katika data base ya shule.

Unaweza kuandika hapa kwa group au kunitumia taarifa hizo inbox au piga hizo namba kwa Maelezo zaidi.

1.0686076686/0764009910. Coordinator
2. 0693015312. H/MASTER.
3. 0785255702. SECOND
Asanteni na karibuni

We are excited to announce the successful completion of renovations of our school roofs, covering four classrooms, the a...
22/05/2024

We are excited to announce the successful completion of renovations of our school roofs, covering four classrooms, the administration block, and the computer lab!

A huge THANK YOU to PWC for their incredible support in making this renovation possible. Your generosity has transformed our school environment, providing a safer and more comfortable space for our students and staff.

Every year between February and May, Emanyata students participate in a sports competition known as Mkuu cup. Students a...
08/05/2024

Every year between February and May, Emanyata students participate in a sports competition known as Mkuu cup. Students are divided into four sports teams which compete against each other. The competition includes various sports such as netball, football, volleyball, handball, and athletics the MKUU CUP prepares the top competitors to compete at the national competitions known as UMISSETA.

From 22-27 april Emanyata Secondary School hosted agriculture experts from PPI who provided a refresher training for tea...
07/05/2024

From 22-27 april Emanyata Secondary School hosted agriculture experts from PPI who provided a refresher training for teachers, non teaching staff and students in modern farming techniques. This refresher training which included technical and practical aspects will support us to expand our permaculture project

20th of April was an inspiring and enriching day at Emanyata Secondary School as we celebrated our Academic Day! It was ...
24/04/2024

20th of April was an inspiring and enriching day at Emanyata Secondary School as we celebrated our Academic Day! It was a fantastic opportunity for students, parents, and teachers to come together and recognize the hard work, dedication, and achievements of our bright minds.
📝 Interactive workshops and seminars provided valuable insights and learning experiences.
🤝 Parents had the chance to engage with teachers and learn more about our academic programs and initiatives.
A big thank you to our dedicated staff for organizing such a successful event, and to all the parents and students who participated! Your support and enthusiasm make events like these truly special.
Here's to many more days of learning, growth, and success at Emanyata! 🎉📚

26/03/2024

Address

OLOLOSOKWAN, NGORONGORO
Arusha
P.OBOX13LOLIONDO

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emanyata sec school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Emanyata sec school:

Share