Elimu Yetu Media

Elimu Yetu Media We cooperate to provide free education for children, Youth, and adults.

Karibu tucheze pamoja na tufurahi.
05/06/2026

Karibu tucheze pamoja na tufurahi.

Ninapenda,  Ninaweza ,Nitafanya, Najiamini 💪
01/05/2026

Ninapenda, Ninaweza ,Nitafanya, Najiamini 💪

Ingizo jipya la wanafunzi wakiwa wanapokea  mafunzo kutoka kwa wakufunziNinapenda, Ninaweza, Nitafanya, Najiamini
15/04/2026

Ingizo jipya la wanafunzi wakiwa wanapokea mafunzo kutoka kwa wakufunzi
Ninapenda, Ninaweza, Nitafanya, Najiamini

28/03/2026

Congratulations to all students 1st intek of 2026
"Nina weza,Ninapenda, Nitafanya, Najiamini"

Elimu Yetu Library Launch on Thursday 12th February 2026 at Shule ya Msingi Kijenge.Uzinduzi wa maktaba ya shule sio tuk...
25/03/2026

Elimu Yetu Library Launch on Thursday 12th February 2026 at Shule ya Msingi Kijenge.
Uzinduzi wa maktaba ya shule sio tukio la kufungua chumba cha vitabu pekee; ni k**a kuwasha taa ya maarifa, utamaduni wa kusoma na kuamsha moyo wa ujifinzaji.
Feed your Mind - Ilishe Akili yako
i love, i can, i will do, i have confidence - Ninapenda, ninaweza, nitafanya, najiamini.

Come let's celebrate the success of our youth and witness the new stage of their lives!( Njoo tushereheke mafanikio ya v...
19/03/2026

Come let's celebrate the success of our youth and witness the new stage of their lives!( Njoo tushereheke mafanikio ya vijana wetu na kushuhudia hatuw mpya ya maisha yao.)

Mkufunzi wa Electric Installation akitoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi . Hapa vijana wanajifunza ujuzi wa umeme kwa v...
14/03/2026

Mkufunzi wa Electric Installation akitoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi . Hapa vijana wanajifunza ujuzi wa umeme kwa vitendo ili kujenga uwezo wao wa kujitegemea na kujiamini katika taaluma zao.
Kauli mbiu yetu: Ninaweza, Nitafanya, Naji­amini.

12/03/2026

Wanafunzi wa ushonaji wakiwa darasani wakijifunza mitindo tofauti tofauti na kudarizi karibu Elimu yetu kwa ujuzi na maendele ya sayansi na tekinolojia. "Ninapenda , ninaweza nitafanya najiamini"

Connect idea, Smart robot & better future
12/03/2026

Connect idea, Smart robot & better future

Address

97 Tindigani
Arusha
23110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimu Yetu Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Elimu Yetu Media:

Share