09/08/2024
Kuwa sehemu ya historia π₯, π€
Okoa Mtaa Foundation inakukaribisha kushuhudia tukio kubwa zaidi la mwaka! la kuhuisha na kustawisha utamaduni wa HipHop Tanzania .
Ungana nasi Kusherehekea sanaa ya Muziki wa Rap, Breakdance, Freestyle, Rap Comedy, na Deejaying kutoka kwa wasanii wenye vipaji vya pekee kutokea Mitaa ya jiji la Arushaπ₯.
π Tarehe: Jumapili, 25 Agosti 2024
π Muda: Saa 8 mchana - Saa 2 usiku
π Mahali: Peace Park (Round About ya Impala), Arusha
HAKUNA KIINGILIO
.