06/08/2026
Njaa na Umasikini kua historia, Inawezekana.
Nukuu kutoka kwa wanakikundi waliopata elimu na kutengeneza bustani kihenge kwenye kaya zao.
“Kipindi tunaoneshwa mfano na kutengeneza hatukuamini k**a kwa mduara mmoja unaweza tosha familia huku ukitumia maji ndoo 2 mpaka 3 kwa wiki kwa udogo huu lakini iewezekana kweli na sasa tunakula hadi ziada tunauza”
Making Hunger and Poverty History is Possible.
A testimonial from community group members who established keyhole gardens at their households:
“When we were first shown how to build a keyhole garden, we found it hard to believe that such a small circular garden could produce enough vegetables to feed an entire family using only two to three buckets of water per week. But it truly works. Today, our families have enough fresh vegetables to eat, and we even produce a surplus that we can sell.”