07/07/2025
TAFAKARI
uhakika wa kujibiwa tunachoomba kwa Mungu UPO.
MAMBO YA MSINGI
1. kupatana-Umoja
2. kujua tunachotaka- focus
3. kuomba - Consistently
4. lolote -move forward no matter what ( bila kujali ukukubwa, ugumu,umbali, uzito, urefu na kipimo chochote upimacho )
tumehakikishiwa kupata , sasa tuombae maana uhakika wa kujibiwa upo .
TATIZO
1. hatujui tunaomba nini
2. tumepatana kuomba ila hatuombi
3. Tunataka kuona Matokeo ambayo hatujayaomba
4. tunataka kupokea kitu ambacho hatujakiomba