24/08/2026
Growth happens one smile, one lesson, and one new experience at a time. We are proud to be in a space where we feel safe to explore, ask questions, and become best version of ourselves every day.
Ukuaji hutokea hatua kwa hatua kwa kila tabasamu, kila somo, na kila uzoefu mpya. Tunajivunia kuunda mazingira salama ambapo watoto wana uhuru wa kuchunguza, kuuliza maswali, na kukuza uwezo wetu kila siku.