02/01/2026
Vijana wawili kutoka Tanzania walipata fursa ya kutembelea, kanisa la wokovu la watu wa Romania k**a wanavoliita ,, Catedrală Mântuirii Neamului" mnamo 30, December 2025.
Ni Cathedral kubwa kuliko kanisa lolote la Orthodox ulimwenguni. Pia ni Cathedral ya taifa la Romania.
Ikumbukwe kwamba taifa la romania ni taifa namba 4 kwa kuwa na uwingi wa waamini wa Orthodox duniani ikitanguliwa na Ukraine, Ethiopia, na Russia.
Vivyo hivyo vijana hawa wamepata fursa ya kuweka historia k**a Watanzania wa kwanza kutembelea Cathedral hii pamoja na kufanya hija katika Relics za watakatifu,
Akiwemo Mt.Andrei k**a mlinzi na Patron wa Nchi ya Romania, na Mfalme Constantin na Mama yake Malkia Helena.
Pia vijana hao waliweza kutembelea monastery ya ,,Jumabwana Takakifu"
Ambapo waliweza kuimba Carlos k**a ilivo utamaduni wa watu wa Romania.
Kutazama Carlos bofya hapa👇
://youtube.com/shorts/phghFI7BhAY?si=7ZXO2Ohirh-M1THA