HON. Newton K. SALIM Community Support Program

HON. Newton K. SALIM Community Support Program Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HON. Newton K. SALIM Community Support Program, Community Organization, Wundanyi, Wundanyi.

22/12/2025
Kazi na maombi🙏
14/10/2025

Kazi na maombi🙏

Happy New Year!!!
31/12/2024

Happy New Year!!!

Kubuniwa kwa barabara ya Mwambogho_Mwanawari, eneo la Nyache kumeangazia tatizo kuu la usafiri lililokuwa kizingiti cha ...
13/06/2024

Kubuniwa kwa barabara ya Mwambogho_Mwanawari, eneo la Nyache kumeangazia tatizo kuu la usafiri lililokuwa kizingiti cha maendeleo kwa baadhi ya wakaazi wa aneo hili la mashinani.

Kukamilika kwa mradi huu kutarahisisha usafirishaji wa mazao ya shambani na urahisishaji wa usafiri nyakati za dharura.

Huu ni mojawapo wa miradi niliyoahidi kuhakikisha inakamilika na kunufaisha jamii iliyoniamini na kunitwika jukumu la kuiongoza.

.
.
. Adv. Newton Kifuso Salim.

Vacancy! Vacancy!
04/04/2024

Vacancy! Vacancy!

Baada ya siku kumi na moja za mapambano, hatimaye michuano ya kandanda ya WuKi Grand Football Tournament yameingia nusu ...
19/12/2023

Baada ya siku kumi na moja za mapambano, hatimaye michuano ya kandanda ya WuKi Grand Football Tournament yameingia nusu fainali hii leo huku timu nne zikikabiliana kutafuta nafasi ya kufuzu kwenye fainali zitakazofanyika wiki hii tarehe 21/12/2023.

Kwenye nusu fainali ya kwanza PSG FC kutoka Paranga walitumia fursa ya kuwa nyumbani vyema kwa kuilaza KITUMBI FC mabao matano kwa manne kupitia mikwaju ya penalti baada ya kuenda sare ya kufungana bao moja kwa moja muda wa kawaida.

Nusu fainali ya pili kati ya Timboni Fc na Ferari Fc iliyogaragazwa kwenye uga wa Kishushe ilishuhudia ushindani mkali huku mchezo ukikamilika kwa sare ya moja kwa moja ndani ya dakika 90. Ferari Fc kutoka Nyache waliibuka kidedea kwa kuonyesha ustadi mkubwa wa kuipiga mikwaju ya penalti baada ya kuiangusha Timboni 3-2.

Kwenye netboli ya kina dada, 4G Young starlets pamoja na Digital women walifuzu kwenye fainali baada ya kuichabanga Neema Netballers na Kimangachughu Netballers mtawalia.

Hongera kwa timu zote kwa kuonyesha viwango vikubwa vya vipaji pamoja na heshima.

Pamoja tukuze vipaji na tujiwezeshe kiuchumi kupitia michezo.

Hon. Wakili Newton Kifuso Salim.

Address

Wundanyi
Wundanyi

Telephone

+254105180209

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HON. Newton K. SALIM Community Support Program posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share