DJ Boyie

DJ Boyie Voice ya vijana. Wasee ni kusaidiana. Tuna share ideas za biz, advice juu ya relationships, issues znatu-affect na jokes mwenda. Form ni kujengana.

Napenda kucheki wasee kama mimi waki-make it.

''Hii Sunday ,  pale Siaya itakua ingine mwecheche
24/04/2026

''Hii Sunday , pale Siaya itakua ingine mwecheche

23/04/2026

We utakimbia to ama away from the police during protests?

Si wale wa kwanza 15 warushe jibu  hapa comments section alafu ntawaskumia credo
23/04/2026

Si wale wa kwanza 15 warushe jibu hapa comments section alafu ntawaskumia credo

Watu wa Siaya Sunday msikose , Alooo
22/04/2026

Watu wa Siaya Sunday msikose , Alooo

22/04/2026

Kuna any valid reason ya msee ku-cheat kwa relationship?
Tushow kwa comments section
#

22/04/2026

"Kuna a group of people wata-understand wakiona visually",,,Huyu ni Evans,, artist mwingine mnoma sana wa visual art, anatumia talent yake kuspeak up juu ya vitu mob zina-happen kwa grao.
Ebu tag msanii unatambua tumbig up

''Nimekua nikidhani manzi yangu anapenda pesa zangu kumbe  najieka stress bure juu mi nilikua nachukua loans adi nahandw...
22/04/2026

''Nimekua nikidhani manzi yangu anapenda pesa zangu kumbe najieka stress bure juu mi nilikua nachukua loans adi nahandwa na watu wa loan ili nipeleke mpoa out asifeel like wenzake wanafanyiwa mavitu na ye hafanyiwi sa day nilishikwa juu sijalipa deni ndio akanishow adi yeye nikiwa na yeye nitulie tu hana haja na doo zangu''

Ushaipata kumbe kuna kitu unastress na ni we umejiekea kwa akili 😂?
# Jijenge

‘’manzi yangu anataka kuanza content creation na anahitaji Iphone na anadai eti  k**a na support dreams zake  niende nim...
22/04/2026

‘’manzi yangu anataka kuanza content creation na anahitaji Iphone na anadai eti k**a na support dreams zake niende nimnunulie Iphone na nisipo buy simpendi lakini mi sina hizo doo na sijui venye ni explain to her ''

Guys, Iphone ama uachwe?

21/04/2026

"Ama ndo maana hawa polisi hujiita cops juu kazi yao ni kuua"Meet Palmer the poet, spoken word artist hatari sana anatumia passion yake kuspeak up.
Ebu tag msanii unatambua tumbig up

''Niaje dj hide ID so mi kuna time nilikua na issues na ku perform mechi  but after nikaanza kutumia dawa flani za ku bo...
21/04/2026

''Niaje dj hide ID so mi kuna time nilikua na issues na ku perform mechi but after nikaanza kutumia dawa flani za ku boost nguvu za kiume nika improve adi manzi yangu akaona difference…… lakini ziko expensive na pia sidai ku disappoint mpoa na sijui nifanye aje juu nikiacha inamaanisha sifurahishi mpoa na nikiendelea najiumiza financially ''
Kwa hii scene we unaezachagua kuokoa financial life yako ama utaendelea kujiskuma ubambe mresh bed, mi naezaendelea kujiskuma

Confession time 4:20 edition "Sa kuna time tulikiwasha job adi kurudi kwa ofisi nikasahau niko job na huyo ni boss wangu...
20/04/2026

Confession time 4:20 edition
"Sa kuna time tulikiwasha job adi kurudi kwa ofisi nikasahau niko job na huyo ni boss wangu , mi nikamuuliza anafanya nini kwangu 😭😂🤦🏽, karibu nipoteze kazi, hivo ndio niliacha kucheza na unga 😂"

"Na hii crisis ya fuel bado unacheki  motorcade ya  politicians iko na magari kibao na zote ziko fueled kwani  rada"  Ma...
20/04/2026

"Na hii crisis ya fuel bado unacheki motorcade ya politicians iko na magari kibao na zote ziko fueled kwani rada" Mafans ebu mnishow mnafeel aje about hii crisis

Address

Siaya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJ Boyie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to DJ Boyie:

Share