Poverty Fighters Family

Poverty Fighters Family Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Poverty Fighters Family, Nonprofit Organization, Kasarani, Nairobi.

06/06/2025
04/06/2025
14/05/2025

Thank you guys for joining. You're welcome! Hii kazi lazma ifanywe na mubarikiwe sana.

15/04/2025

Hapa ni kufollow tu, tukifika watu 100k tutakuwa tukisupport michango na 1bob ama 2bobs.

Ukiwa na mchango wa family member ama rafiki yako, unawuleta hapa tunapost account yake ama Mpesa number yake.

Itakuwa kumurushia izo mabobs ndio tuavoid mawhatsapp groups sababu watu wengi hawana pesa za kuchanga, 1 ama 2 bobs haitashinda mtu.

Ni zamu yangu na yako mpendwa kumobilize kazi hii nzuri. Anza na marafiki zako, family members, church members, marafiki kazini, na wengine.

Kuweni na wakati mwema. Mora awabariki.

Ni kaka yenu, Denis Ntaconayigize.

Non-profit organisation

11/04/2025

WhatsApp Group Invite

10/04/2025

Hello brothers and sisters! Hii page ni ya kusupport michango kwa familia ambazo ziko na wagonjwa ambao wamefungiwa hospitalini juu ya kushindwa kulipa bill ama wakupeleka ngambo ili wapate matibabu bora. Pia tutachangia pesa za mazishi na kuokowa watu kwa tumashida twa aibu. Tungependa musupport hii kazi ili tuweze kuokowa maisha ya wengi. Tuna imani yakwamba tukiweka nguvu pamoja tutafika mbari. Mchango utapeanwa kwa account ya mwenye kuchangiwa ili tuavoid ukora na hiyo account itapostiwa kwa page. Mchango utakuwa chini ya 3bobs. Asanteni kutuelewa. Mora azidi kuwabariki. Kindly follow me on facebookpage " Poverty Fighters Family (PFF) ". Tukifika 100k mtu yeyote anajua yule anafaa kuchangiwa aseme tuchape hii kazi. K**a wewe uko Kenya kona zote mobilize kila mtu na uanze na familia yako na majirani, umoja ni nguvu ndugu zangu.

Non-profit organisation

Address

Kasarani
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Poverty Fighters Family posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share