17/07/2026
πβ€οΈ GHH Family Wasee! β€οΈπ
Aki wasee, calendar ilituambia "si leo!" π
So tumeshift mission kidogo.
π’ Love in Action Community Drive sasa ni Saturday, 29th August 2026! π₯³
Hakuna excuses bana! Hii si event ya "nitawatch status zenu nikisema mlikuwa mnaenjoy." π Sisi tunataka kuona sura yako live! π
π K**a huwezi come na gunia ya donations, leta hata one item. K**a huwezi one item, leta contribution. K**a huwezi contribution... basi leta nguvu na smile yako! πβ€οΈ
π Unaeza pick any item kwa budget yetu: π§Ό Detergent πͺ₯ Toothbrush π©Έ Sanitary pads π Clothes π₯£ Uji π§» Tissue πΆ Pampers... ama support kupitia: PB: 247247 A/C: 452592
πMeeting Point: Tulin Building, Floor 3, Room 24 π 9:00 AM sharp (Kenyan time kidogo, lakini tusifike lunch time bana! π)
Na wasee, share hii poster kwa status, church groups, friends, family, coworkers... hata ule cousin huonekana tu Christmas. πβ€οΈ
Tuonyeshe community kwamba Giving Hearts and Hands si group ya WhatsApp tu... ni movement! π₯β€οΈ
Twende tukapike, tuchape story, tucheze na watoto, tufanye hair, tushare love, na tufanye memories zenye hazitanunuliwa na pesa.
29th August tunafika wote! Hakuna kujificha. Tuko pamoja ama hatuko pamoja? πππ½β€οΈ