Freedom St.

Freedom St. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Freedom St., Community Service, 254, Nairobi.

Si ni leo...For a worthy course..Wasupa wetu hawatakosa kuinzagi kidato tena juu ya pads....INSHALLAH  🀲🏾TUPATANE JATESO...
15/08/2026

Si ni leo...
For a worthy course..
Wasupa wetu hawatakosa kuinzagi kidato tena juu ya pads....INSHALLAH 🀲🏾
TUPATANE JATESO STADIUM mapemaaa...

MAISHA ni nini?????Mtu ametoboa kiMAISHA akiwa 30 years ni mtu mzima lakini akirianyu akiwa na 30 itakua amebugda akiwa ...
14/08/2026

MAISHA ni nini?????
Mtu ametoboa kiMAISHA akiwa 30 years ni mtu mzima lakini akirianyu akiwa na 30 itakua amebugda akiwa mdogo...
Ni funny yaani venye arif ya dingo ni dingo lakini arif ya tajiri si tajiri....
Inashangaza sana venye ngwai ni illegal lakini serekali ndio inajenga na kuuza rizzla...
Ni funny yaani venye wanakuchekea kwa uso lakini kisiri na kanjevee wanakuchimba...
MAISHA ni nini?????
Ijumaa Kareem...
πŸ‘•β˜‘οΈ

Ni SAD sana manze venye kila mwezi ma girl child kadhaa kwa izi mtaa zetu ushindwa kuATTEND kidato juu wanaATTEND na haw...
11/08/2026

Ni SAD sana manze venye kila mwezi ma girl child kadhaa kwa izi mtaa zetu ushindwa kuATTEND kidato juu wanaATTEND na hawawezi afford pads...
Na ndio maana sisi k**a FREEDOM STREET tukiwa na wenzetu wa Umaf Foundation tunataka kuanza program mpya inaitwa GIRL CHILD AINGIE KIDATO ya kumake sure atleast tumepunguza izi cases by donating pads across maghetto na vidato kadhaa Nairobi zenye watakua wanahitaji sanasana...
Hii weekendi on sato saa kumi tutaanza na FRIENDLY na team jamo ya power ya wazoefu tupu wenye wamecheza KPL yenye inaitwa EXPERIENCE SELECT na entrance itakua tu piece jamo ya pad yenye itatusaidia kuanzisha hii operation yetu....
Tupatane MBOTELA hii sato saa kumi tujibambe tukipiga game,,networking na shagla ya maana..

11/08/2026

Haiya haiya kidudu mtu
Haiya haiya kidudu mtu
Unafitinisha wenzako we hujali utu
Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie
Wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie
Good morning kutoka wa dancer wa kulipwa....
πŸ‘•β˜‘οΈ

MKANDA NA JUA Freedom St.  EDITION...Imekua wega..Tumefurahia...Kwa mafans wetu jo manze tunasema ASANTA kadeila kwa io ...
09/08/2026

MKANDA NA JUA Freedom St. EDITION...
Imekua wega..
Tumefurahia...
Kwa mafans wetu jo manze tunasema ASANTA kadeila kwa io LOVE na SUPPORT nyi utupea... TUNAWATAMBUA na TUZIDI πŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏ
Alafu sa si mkuwe na usiku jamo imetulia..

BRO TO BRO :Rada ni nigri majicha????Manze jo madem wapanasu,,wanono,,petit,,slim sheddy,,ayella,,wakibla,,waSESKI,,wapo...
09/08/2026

BRO TO BRO :
Rada ni nigri majicha????
Manze jo madem wapanasu,,wanono,,petit,,slim sheddy,,ayella,,wakibla,,waSESKI,,wapolee,,maORDINARY,,maGOSHODO na maBUDDIE wamejaa...Wako geng na wako kila irima...
Lakini majamaa wako na LIFE POA,,wamekachora,,wamejipanga,,wako SUCCESSFUL,,wamejaa na wako na afere kitu iko ni NGUMU na RARE kupata kila irima....
Kumaaanisha wewe ndio PRIZE bana boychild...toto yoyote isikuuzie uoga ama kukupatia shapree....open the third eye πŸ‘€ πŸ‘....
Inakuaje watuuuu,,si tugongane Zeytoon basi inna few alafu tulink ma baadeng pale JIWEKEE tudiscuss hii mambo tukikula ngoma za kizing kawarm tu....
πŸ‘•πŸ‘•πŸ‘•β˜‘οΈ

Alafu usiLOOSE touch na ma arif ama mapower wako juu uko kwa relationship piamu na unapata touch ile flani kwa dao...Mto...
06/08/2026

Alafu usiLOOSE touch na ma arif ama mapower wako juu uko kwa relationship piamu na unapata touch ile flani kwa dao...

Mtoto wako anaweza kua anakubeba kwa bafu mkipiga ngasha ama kwa kitanda lakini ile siku utarianyu na JahJahree ameamua kukuita wejua ni hao hao watu ulichorea ndio watakubeba mpaka kwa area yako ya shomwi ya kupumzika...
Alafu huyo mtoto wako anaweza mwokalize na mtu wake mwinengi kukupumzisha..
Tafakari ya FREEDOM STREET...
πŸ‘•β˜‘οΈ

Mwisho ulilink reggae bila NIBAIYE,,NIADISIE ama NIMWAGIE ata tot ni lini???Hii weekendi basi tugongane pale Zeytoon ear...
06/08/2026

Mwisho ulilink reggae bila NIBAIYE,,NIADISIE ama NIMWAGIE ata tot ni lini???
Hii weekendi basi tugongane pale Zeytoon early bird tukule rwembo bila kusomana ama kupimana juu ile mbogilize yenyu mnapendaga ya Freedom St. itakua vulai tukiPANGUZA RUSHA....
Alafu baadae idhaa ya giz tutakuwa zetu pale jiwekee tukijidai na kuskiza POSITIVE and MATURE reggae..yaaani reggae k**a kitambo penye arufu ya jasho utaskia labda iandamane na MINT ama PINEAPPLE...
Jamboo watuuu,,dira ya Sunday ndio io tushawachoresha....

Two'sDay...Dear ladies,,character na behavior ya wajukuu wako italingana na venye wewe umelea daughter wako so make sure...
04/08/2026

Two'sDay...
Dear ladies,,character na behavior ya wajukuu wako italingana na venye wewe umelea daughter wako so make sure ile picha unapaint sahi ni ile utataka kuona ukiwa kwa kiti yako ya retire...
Niaje niaje watuuuu,,si mkuwe na usiku jamo imetulia....
πŸ‘•πŸ‘•β˜‘οΈ

Unaweza niaribia jina,,,unaweza nidhalilisha,,unaweza nitangaza vibaya,,unaweza nichukia,,unaweza jenga chuki na kukarib...
03/08/2026

Unaweza niaribia jina,,,unaweza nidhalilisha,,unaweza nitangaza vibaya,,unaweza nichukia,,unaweza jenga chuki na kukaribisha wenzako kunichukia pia lakini kitu najua ni ati yangu ni yangu...
Ile Most High alinipangia na kuniandikia nayo laazima itakua yangu..Riziki na kipaji yangu nayo ata ufanye nini HAUWEZI chukua na io ndio muhimu zaidii kwa hii journey ya life...
Inakuaje watuuuu??si mkuwe na siku true na wiki FRUITFUL alafu hii mwezi jo pia ikuwe na kiSMART full hundred...
πŸ‘•β˜‘οΈ

Address

254
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Freedom St. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share