Tenzi za rohoni

Call Website

Tenzi za rohoni Kuwasaidia wakristo kumwabudu Mungu kwa nyimbo zinazomtukuza Yesu Kristo.”
(Zaburi 95:1–2, Waefeso 5:19)

26/09/2026

Mungu Mtukufu — Tenzi za Rohoni

Mungu Mtukufu, aliye Bwana, alitoa Yesu kuwa dhabihu kwa ajili ya dhambi zetu, akitufungulia njia ya wokovu.

Wimbo huu unatukumbusha ukuu wa Mungu, ukombozi wetu katika Kristo, na tumaini tulilo nalo kwa kumwamini Yesu.

🎵 Mungu Mtukufu
📖 Tenzi za Rohoni
✍️ F***y J. Crosby (1823–1915)

Msifuni, msifuni; nchi imsikie;
Msifuni, msifuni; Bwana mshangilie.

Ikiwa wimbo huu umekuwa baraka kwako, like, share na subscribe kwa Tenzi za Rohoni kwa nyimbo zaidi za Kikristo na nyimbo za kiroho.

25/09/2026

🎵 YESU KWETU NI RAFIKI — TENZI 9

Yesu kwetu ni Rafiki. Tunapopitia dhiki na maonjo, tunapokuwa na mashaka, au tunapohisi tumedhoofika na hatuwezi kuendelea, hatupaswi kukata tamaa.

Tunaweza kumwendea Mungu kwa maombi. Yeye anajua udhaifu wetu, anajua mahitaji yetu, na anatualika tumtwike mizigo yetu.
Una dhiki na maonjo?
Una mashaka pia.
Haifai kufa moyo,
Dua atasikia.”

Mara nyingi tunajitwika mizigo ambayo tungeweza kuipeleka kwa Mungu katika maombi. Usikate tamaa. Omba. Mtegemee Mungu.

🎶 Yesu Kwetu Ni Rafiki — Tenzi 9

21/09/2026

Neno Lako Bwana – Tenzi 111

Neno la Bwana ni imara, linatufundisha, linatuongoza, na linatupa faraja wakati wa dhoruba. Tunapoliamini na kulitegemea, tunapata amani na tumaini kwa sababu Mungu ni mwaminifu kwa Neno lake.

🎵 Neno Lako Bwana – Tenzi 111
🙏 Bwana atusaidie kulipenda, kuliamini, na kuishi kwa kutii Neno lake.

゚viralシ

19/09/2026

Dhambi ikikulea , Tegemea Yesu mkombozi mwenye rehema

18/09/2026

TENZI ZA ROHONI NO. 108 — NJOONI MPENDAO BWANA
​Njooni Mpendao Bwana, Ije raha yenu!
Imbeni nyimbo za raha Wa ibada yenu.
​(Kwaya)
Twenenda Sayuni, Mji mzuri Sayuni,
Twenenda juu Sayuni, Ni maskani ya Mungu.
​💬 Tag mtu mmoja ambaye anapenda Tenzi za Rohoni!
​ ゚viralシ

08/09/2026

Twae Wangu Uzima ni wimbo wa kujitoa kikamilifu kwa Mungu—maisha, wakati, vipawa, nguvu, mali, moyo na mapenzi yetu yote. Unatukumbusha kwamba tulinunuliwa kwa bei, hivyo maisha yetu si yetu wenyewe, bali ni ya Kristo. (1 Wakorintho 6:20)
Ni mwaliko wa kumruhusu Mungu atawale kila eneo la maisha yetu, tukisema k**a Paulo: “Si mimi ninayeishi, bali Kristo ndiye anayeishi ndani yangu.” (Wagalatia 2:20)
🎵 Twae wangu uzima — Tenzi za Rohoni
🙏 Bwana, chukua maisha yangu na uyatumie kwa utukufu wa jina lako.

08/08/2026
06/08/2026

MFALME WA MAPENZI (KING OF LOVE MY SHEPHERD IS)

04/08/2026

Basi, wapenzi mkitangulia kujua hayo, jilindeni nafsi zenu, msije mkachukuliwa na kosa la hao wahalifu mkaanguka na kuuacha uthibitifu wenu.

18 Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele.
2 Peter 3:17-18

01/08/2026

Follow TENZI ZA ROHONI's WhatsApp channel. Kushiriki Nyimbo zilizojaa kweli ya Neno la Mungu. Join 12 followers for the latest updates.

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tenzi za rohoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share