LULU YA JAMII

LULU YA JAMII Charitable foundation by Lulu Hassan

Lulu Ya Jamii kupitia muanzilishi wetu Lulu Hassan,iko hapa  kwa hatua, si maneno tu. Hatutaki kuwaacha watu na kiu ya t...
30/09/2026

Lulu Ya Jamii kupitia muanzilishi wetu Lulu Hassan,iko hapa kwa hatua, si maneno tu.

Hatutaki kuwaacha watu na kiu ya tamaa isiyotimia. Tunataka ku-deliver, kufungua milango ya fursa na kubadilisha maisha kwa vitendo.

Hakikisha unakuwa ANGE kwenye kurasa zetu za kijamii za "Lulu ya Jamii", maana JUMAMOSI HII dada yetu Lulu atakuwa na jambo NONO sana la kushuhudiwa!

Usikose. Usisimuliwe baada ya tukio, kuwa sehemu ya kushuhudia!

๐Ÿ“… Saturday, 3rd October

๐€๐‰๐ˆ๐‘๐€ ๐‡๐€๐ˆ๐๐†๐Ž๐‰๐ˆ ๐Š๐„๐’๐‡๐Ž. ๐’๐ˆ๐’๐ˆ ๐“๐”๐Š๐Ž ๐‡๐€๐๐€ ๐‹๐„๐Ž.
๐†๐ˆ๐•๐„ ๐€ ๐‡๐€๐๐ƒ, ๐‚๐‡๐€๐๐†๐„ ๐€ ๐‹๐ˆ๐…๐„!!!

From Lulu Ya Jamii, we wish you a week filled with hope, strength, purpose and good news. Letโ€™s make this week count sup...
28/09/2026

From Lulu Ya Jamii, we wish you a week filled with hope, strength, purpose and good news.

Letโ€™s make this week count support one another, uplift someone in need, and take one positive action that makes our community stronger. Together, we can create meaningful change.

Happy Monday & have a blessed week!

๐“๐ฎ๐ง๐š๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š, ๐“๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐ž๐ฌ๐ก๐š ๐๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š Uwezeshaji wa kweli unaonekana pale tunaposhikana mikono, kuamini uwezo wa wengine ...
27/09/2026

๐“๐ฎ๐ง๐š๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š, ๐“๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐ž๐ฌ๐ก๐š ๐๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š

Uwezeshaji wa kweli unaonekana pale tunaposhikana mikono, kuamini uwezo wa wengine na kuweka juhudi pamoja ili kuleta matokeo yenye maana katika jamii.

Muanzilishi wetu, Lulu Hassan alihudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Swabz Pastries katika Emirates Hall akiwa Mgeni Rasmi, akisimama pamoja na wanawake wanaojenga na kukuza biashara zao.

Katika hafla hiyo, Lulu alifanya mazungumzo ya wazi na ya dhati kuhusu biashara, changamoto za ujasiriamali na umuhimu wa kuweka malengo na kuyafanyia kazi. Aliwahimiza wanawake kuamini uwezo wao, kuwa na nidhamu, kuvumilia changamoto na kuendelea kusonga mbele katika safari ya kufikia ndoto zao.

Kupitia uongozi wake, Lulu Hassan anaendelea kuonyesha kwamba uwezeshaji wa wanawake si maneno pekee ni kuwaunga mkono, kushirikiana nao, kuwapa nafasi na kusimama nao katika safari yao.

Give a hand change a life

27/09/2026

Mental Health Matters

During the Pad Drive at Kenya Coast National Polytechnic, our Founder Lulu Hassan shared an inspiring message on the importance of mental health, resilience, self-awareness, and supporting one another reminding both men and women that mental well-being is everyoneโ€™s responsibility.

A healthy mind is the foundation of a better life.



27/09/2026

There is hope, even when your brain tells you there isnโ€™tโœ…๏ธ๐Ÿ’ฏ

27/09/2026

Culture, talent and confidence thatโ€™s the vibe!

On Friday at Matuga Girls, our Founder Lulu Hassan brought her energy, warmth and leadership to the annual Cultural & Talent Show. She interacted with students, celebrated their talents and joined them in creating unforgettable moments.

Lulu Hassan is not just a leader; sheโ€™s a vibe a leader who believes in young people, culture and the power of talent.

Culture is a powerful part of our identity. It brings us together, preserves our heritage and gives young people a platf...
26/09/2026

Culture is a powerful part of our identity. It brings us together, preserves our heritage and gives young people a platform to express themselves, discover their talents and celebrate who they are.

Yesterday, our Founder Lulu Hassan had the honour of joining the students and teachers of Matuga Girls as the Guest of Honour during their annual Cultural and Talent Show. She celebrated the studentsโ€™ creativity and encouraged them to continue nurturing their talents and confidence alongside their academic journey.

The event also featured the exciting crowning of Miss Matuga 2026/2027, making it a memorable celebration of talent, confidence and self expression.

Lulu Ya Jamii remains committed to supporting young people, celebrating culture and creating opportunities for talent to thrive.

26/09/2026

Jana, Mwanzilishi wetu Lulu Hassan , kwa kushirikiana na Bella Donna , aliungana na wanafunzi, walimu na wadau katika chuo cha Kenya Coast National Polytechnic kwa zoezi la Pad Drive.

Pia alizungumza kuhusu afya ya akili, kuheshimiana na kusaidiana, huku akiwahimiza wavulana kuzungumza wanapopitia changamoto.

Pamoja kwa jamii yenye utu, afya na matumaini.

Address

Mombasa
Mombasa
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LULU YA JAMII posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share