Juma Mwadzikomba foundation

Juma Mwadzikomba foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Juma Mwadzikomba foundation, Community Center, Msambweni, Mombasa.

Niliweza kuhudhuria sherehe ya (graduation)  Perfect Viev Academy Msambweni Bomani wadi ya Ramisi. Pongezi kwa wanafunzi...
08/11/2024

Niliweza kuhudhuria sherehe ya (graduation) Perfect Viev Academy Msambweni Bomani wadi ya Ramisi. Pongezi kwa wanafunzi kwakujitaidi katika masomo yao vilevile Walimu na Wazazi kwakuhakikisha wanafunzi wanapata elimi bora pia nawashauri wazazi wahakikishe watoto wanasoma vitabu wakiwa nyumbani kipindi hiki cha likizo kwani likizo hii ndefu watoto wawekwe kwenye mazingira mazuri.



Nachukua fursa hii kupongeza timu zote zilizoweza kushiriki katika ligi (Mwadzikomba Super Cup 1st Edition) iliofanyika ...
07/11/2024

Nachukua fursa hii kupongeza timu zote zilizoweza kushiriki katika ligi (Mwadzikomba Super Cup 1st Edition) iliofanyika Msambweni Kingwede wadi ya Ramisi.Tuliweza kushirikia na viongozi mbali mbali akiwemo Hon. Khatib Mwashetani,Hon. Chimera na wengineo.
Mabingwa wa Kings Fc waliweza kuchukua kombe dhidi ya Jay Fog.



Address

Msambweni
Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Juma Mwadzikomba foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share