Turkana Al ihsan organization-T.A.O

Turkana Al ihsan organization-T.A.O Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Turkana Al ihsan organization-T.A.O, Nonprofit Organization, Whatsapp Turkana Al ihsan organisation, Lodwar.

05/05/2024

QUR'AN 21:67
- Aibu yenu nyinyi na hivyo mnavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu! Basi nyinyi hamtii akilini?

12/04/2024

Marko 12:24
Yesu akawajibu, “Je, hampotoki kwa sababu hamfahamu Maandiko wala uweza wa Mungu?

12/04/2024

Qur'an
40:41 - Na enyi watu wangu! Kwa nini mimi nakuiteni kwenye uwokofu, nanyi mnaniita kwenye Moto?

12/04/2024
12/04/2024

Assalaam Aleikum warahmatullahi wabarakatuh
Usisahau kulipa siku uliyokosa kufunga.
Usisahau kufunga 6 katika mwezi WA shawal.
ALLAH ATUWEZESHE.

09/04/2024

TUNAWATAKIA WAISLAMU WOTE IDDUL FITRI YENYE FURAHA TELE.
NA MWENYEZI MUNGU ATULIPE SOTE KWA SAUMU ZETU.TULIYOFUNGA.

08/04/2024

Qur'an 2:2 -
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
2:3 - Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.

08/04/2024

EVERY LAST FRIDAY OF EVERY MONTH.
LODWAR GK PRISON VISIT.
TO OUR MUSLIM BROTHERS AND SISTERS.
CAN YOU JOIN US
JUST FOR ALLAH.
IHSAN IS OUR AIM
Contact 0799793829/0704556886

08/04/2024

On Friday we had opportunity to join our brothers at lodwar Gk prison.
You can also do something for Allah as we celebrate Iddul fitri to remember them.Allah will reward you.
You can send your contribution to
0799793829 or 0704556886. If you are in lodwar we can pick.
Let us remember them in dias also.

Address

Whatsapp Turkana Al Ihsan Organisation
Lodwar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Turkana Al ihsan organization-T.A.O posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share