25/09/2026
We are youths, and youths are our business! 🔥
K**a wewe ni youth na unahitaji Sisi,! unatupatia location, unatuambia time unapatikana, then tunafika mahali uko. Simple! No excuses. 😄
Vijana wa Lumshi walituambia wako available majioni, so tukasema why not? Tukafika wakati wako, tukakaa nao, tukasema nao.
Leo jioni tumekuwa na kikao na vijana wa Lumshi kuhusu National Youth Council (NYC). Tumeongea mambo kadhaa — NYC ni nini, inahusu nini, nani ana-qualify kuchaguliwa k**a NYC delegate, uchaguzi wa NYC inakaa aje, ina benefits gani kwa sisi vijana, na maswali mengine ambayo vijana walikuwa nayo.
Na kitu ingine muhimu, hii sensitization ni responsibility yetu k**a vijana kwa vijana. Hatuwezi kusema vijana washiriki kwenye opportunities k**a hawajui zinahusu nini. Lazima information ifike kwa youth mahali wako na wakati wako.
Na ndio maana tunasema:
Unatupatia location.
Unatupatia time.
Tunafika.
Tunasema.
Tunasikiliza.
Tunajenga pamoja. 🤝🏽
Vijana wa Lumshi, asanteni sana kwa kutupokea na kushiriki nasi.
Siasa Place
Lamu Arts and Theatre Alliance
Muslim women Advancement of Rights and Protection
@