23/02/2024
Hallo fellow parents. Ñi wakati Bora zaidi kufundisha watoto wetu kuzungumza.
🗣️
Natumai umewahi patana na mtu nzima mwenye hajui kujieleza kisawasawa.
Utafiti uliofanywa na John Hopkins Behaviour development department, yaonyesha kwamba, tabia k**a hili laweza rekebishwa mtoro angali umri mdogo kiasi Cha grade 1, 2 & 3.
Shuleni, wanafundishwa kuandika, kutamka neno na kuzisoma pamoja.
Nyumba je?
Mzazi, wafanya Nini kuhakikisha mwanako amejua kujieleza vizuri ndani na nje ya nyumbani?
Hapa ni mawaidha kutumia kusaidia mtoto wako kuongea na kujieleza kisawasawa.
Kumbuka hawawezi ongea mingi shuleni juu wako darasani na mwalimu kwa asilimia 85%
Ijapo wamejaribu kuongea, yaitwa 'Noise making' na punishment yafuata.
Ni jukumu lako kukuza talanta ya kuongea safi kwa mwanako Kila mara ukiwa na yeye.
1. Give clear instruction: kumaanisha ubongo LA mtoto Bado mchanga hawawezi kumbuka maneno yote yakiwa mingi.
Wrong way- ( Junia, harakisha umalize home fun, utoe maganda kwenye jumba LA kuku alafu upitishe chupa cha maziwa ya mtoto
kwa nanny ukienda
kuchota maji ya kunywa)
Right way: ( Junia, hakikisha umetoa maganda kwenye jumba LA kuku. Umeelewa!)
Basi subiri aitekeleze Hilo jambo, ndipo umwambie kitu Cha pili la kufanya hivyo hivyo hadi atayamaliza kwa siku.
JUKUMU LAKO 📨
Hiyo basi. Mtoto atakapomaliza kufanya jambo lote za siku Kisha kaeni chini kwa muda mfupi TU naye ama na wao uwaambie wakariri waliofanya kwenye siku. Ukimpa Kila mmoja nafasi kujieleza.
BENEFITS 🎁
Watoto hao, watakuwa wakijua kuzungumza na kujieleza vyema zaidi. Pia itasaidia wakati WA kuandika insha, composition, short stories na hadithi wakiendelea na masomo.