Al-Ansaar CBO Kisumu

Al-Ansaar CBO Kisumu Community Based organization

06/08/2026
26/05/2026

Eid Mubarak! ��
Happy Eid al-Adha to you and your loved ones!

May this blessed festival bring you peace, joy, blessings, and abundant happiness. May your sacrifices and good deeds be accepted, and may you always be surrounded by love and prosperity. Enjoy the celebration! ���

Eid Mubarak from everyone at Al-Ansaar CBO-Kisumu🌙  🤲🏽 تَقَبَّلَ اللهُ مِنَّا وَمِنكُمMay Allah accept our prayers, fast...
19/03/2026

Eid Mubarak from everyone at Al-Ansaar CBO-Kisumu🌙

🤲🏽 تَقَبَّلَ اللهُ مِنَّا وَمِنكُم

May Allah accept our prayers, fasts, and supplications. Ameen😍

Ramadhan Timetable 2026.أللهم بلغنا رمضان🤲🌙
09/02/2026

Ramadhan Timetable 2026.
أللهم بلغنا رمضان🤲🌙

Kuacha uraibu ni sehemu ya maandalizi ya RamadhaniMiongoni mwa maandalizi muhimu ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ...
06/02/2026

Kuacha uraibu ni sehemu ya maandalizi ya Ramadhani

Miongoni mwa maandalizi muhimu ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kutia nia ya dhati ya kuacha uraibu unaomchafua mwili na roho, k**a vile sigara, marungi, tumbaku na tabia nyingine zinazomchukiza Mwenyezi Mungu na kumdhuru mwanadamu.

Ramadhani ni mwezi wa kujizoesha subira na kujidhibiti. Mfungaji huacha chakula na kinywaji halali kwa ajili ya Allah, basi anaweza pia kuacha vilivyo haramu na vyenye madhara. Kuacha uraibu si jambo rahisi, lakini nia njema na msaada wa Mwenyezi Mungu humfanya jambo gumu liwezekane.

Anayeanza kabla ya Ramadhani huingia katika mwezi huu akiwa tayari zaidi, na anayechukua Ramadhani k**a fursa, anaweza kuufanya uwe mwanzo wa maisha mapya yaliyo safi na yenye afya.

Ramadhani ni mwezi wa mabadiliko – anza leo.

Kongamano la KiDawa'a Jamia Mosque Migori–Kenya tarehe 10-12/10/2025 InshaALLAAHEveryone is welcomed . Muslim Even Non-M...
05/10/2025

Kongamano la KiDawa'a Jamia Mosque Migori–Kenya tarehe 10-12/10/2025 InshaALLAAH
Everyone is welcomed . Muslim Even Non-Muslim

Huyu hapa anaitwa Mahmoud, ni kijana kutoka Ismailia, Misri. Kila siku humsubiri mzee kipofu kabla ya sala tano za kila ...
17/09/2025

Huyu hapa anaitwa Mahmoud, ni kijana kutoka Ismailia, Misri. Kila siku humsubiri mzee kipofu kabla ya sala tano za kila siku.
Yeye huenda mwanzoni mwa barabara ili kumsaidia na kutembea naye hadi msikitini.
Hurudia hili mara tano kwa siku.
Masha'Allah

KISUMU DA'AWA TOUR | Dr. Islam Muhammad Salim anatariwa kufanya Ziara za Da'awa Kisumu kuanzia kesho tarehe 25 mpaka 26t...
24/04/2025

KISUMU DA'AWA TOUR | Dr. Islam Muhammad Salim anatariwa kufanya Ziara za Da'awa Kisumu kuanzia kesho tarehe 25 mpaka 26th Inshaa'Allah.

Friday Khutbah: Railways Mosque
Magheib Darsa: Jamia mosque Kisumu.
26th-- Darsa Ya wanawake: Ofafa Hall
- Magheib Darsa: Masjid issa bin Mariam.

Inshaa'Allah tuwajilishe Wengine ili Tufaidike sote katika hizi Fadhla biidhnillah Inshaa'Allah.

Eid Mubarak from  Al-Ansar Community based organization - Kisumu 🌙 ✨  🤲🏽 تَقَبَّلَ اللهُ مِنَّا وَمِنكُمMay Allah accept...
29/03/2025

Eid Mubarak from Al-Ansar Community based organization - Kisumu 🌙 ✨

🤲🏽 تَقَبَّلَ اللهُ مِنَّا وَمِنكُم

May Allah accept our prayers, fasts, and supplications. Ameen🤲

Address

Oginga Odinga Street
Kisumu
40100

Telephone

+254100770590

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al-Ansaar CBO Kisumu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share