Shaviringa friends of kibiri forest

Shaviringa friends of kibiri forest tree nursery fo conservation.

28/03/2023
Maji safi watu
13/05/2022

Maji safi watu

13/05/2022
14/12/2021

Linda miti hewa safi

07/07/2021

Tunampango wa kuanza kusajili chama kipya
Ambacho kitasaidia kwa mambo muhimu. Tumekua na self help group.sasa tunataka c.p.o kuwa mwanachama
Wasiliana na viongozi

Send a message to learn more

15/10/2018
Shaviringa vitendo/shaviringa friends of kibiri forest. P.k.
22/03/2018

Shaviringa vitendo/shaviringa friends of kibiri forest. P.k.

16/03/2018

selikari wameniunga mkono kwa ajili ya kulinda miti kwa hivio tena kichwa cha ngu kimajaa kufikiri na kuwaza hawa mama watapigia nini kuni na wamezoea musituni kutafuta kuni. sasa nimepata suluhisho lakusaidia hawa wa mama wahapa shaviringa na makuchi nitaunda kikundi cha marry.co ili tu nunulie kira mmoja wetu gas ya kupigia wale watu wetu wenye wako inje wameenda kutafuta inje pia watuunge
mukono ka ma we we ni music ha na mamako ako hapa mutume ajiunge na kikundi vilevile mume mutume mukeo tunataka kujijenga Kim Aisha pia tuta ninua viombo via nyumba na hata karma hauna TV tutanunua karma unataka kujiunga nijulishe nikueleze said..

Huhu huyu myama  Ooooo.simupendi kabisa kabisa ni hatari  kwa miti anakula kila mti  ni hatari kwa mazingiri or environm...
09/03/2018

Huhu huyu myama Ooooo.simupendi kabisa kabisa ni hatari kwa miti anakula kila mti ni hatari kwa mazingiri or environment...

01/03/2018

Asande sana mwenyezi m
ungu mwenye kunehemesha nehema ndogo ndogo na nehema kubwa kubwa atupatia nakila mu2 sasa anafikiria kupanda shamba lake ni sawa lakini pia kumbuka kupanda miti .miti ni uhai miti kuni ni makaa mpao pia ni hewa safi.mungu awe pamoja nanyi

15/12/2017

Watu wenye tu naishi karibu na musitu tusaidie kulinda musitu wetu. Huu musitu una faida kwetu tunapata kuni. Hewa safi mvua tuondoe siasa ndani. Pia tu fuge nyuki kwa wingi watusaidie kulinda binadamu wamekua hatari wakiona tu mti wanadondoka tu mate wauze hawajali hata vizazi via kesho mungu awasaidie...

Address

Shaviringa
Kilimani

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shaviringa friends of kibiri forest posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Shaviringa friends of kibiri forest:

Share