12/05/2026
promise anatumia sauti yake kukumbusha jamii kuwa harmful norms haziwezi kuisha k**a bado tunaogopa kuongea. Mabadiliko ya ukweli huanza wazazi, viongozi wa dini, wazee wa kaya na vijana wakikaa pamoja, wasikilizane na kucreate safe spaces za guidance na maongezi ya ukweli bila hukumu.
Kulinda Mayouth si kazi ya mtu mmoja, ni responsibility ya jamii yote. Tukishikana na kuanzisha mazungumzo, tunajenga future poa na safe kwa vijana wetu.
Saa hii ndio ya form, kusimama pamoja na kushift harmful norms kwa jamii yetu.
Kilifi Department of Health and Sanitation ServicesFaith to Action NetworkKilifi County Government