Paparazzi Kabindula

Paparazzi Kabindula MC PROVINCIAL

MFAHAMU KWA UFUPI P. DIDDY, MKANDAJIWatu wengi wanadhani P. Diddy ni kijana ila ukweli P. Diddy ni moja kati ya wasanii ...
01/10/2024

MFAHAMU KWA UFUPI P. DIDDY, MKANDAJI

Watu wengi wanadhani P. Diddy ni kijana ila ukweli P. Diddy ni moja kati ya wasanii wakongwe zaidi wa Hip Hop duniani, Ana umri wa miaka 54 amezaliwa mwaka 1969, ameanza muziki mwaka 1988

P. Diddy jina lake halisi ni Sean John Combs na ndie mmiliki wa lebo maarufu zaidi ulimwenguni ya Hip Hop maarufu k**a "Bad Boy Records" ya nchini Marekani.

P. Diddy mbali na muziki pia ni mfanyabiashara mkubwa na mwanamitindo. Jamaa ni moja kati ya marapa tajiri zaidi ulimwenguni akiwa na utajiri wa dola milioni 600(zaidi ya trillion 2 za mama anaupiga mwingi)

Moja kati ya wasanii maarufu waliofanya kazi na Diddy mara nyingi ni Jay Z, Tupac, Notorious BIG, Usher Raymond, Faith Evans, Rick Ross, Meek Mill, Dj Khaleed, Justin Bieber, Offset, Cassie, Jennifer Lopez, Fat Joe, Burna Boy nk

Kuhusu madhila ya tabia zake waliokiri kuguswa hadi sasa ni Meek Mill, Justin Bieber na Cassie

BAGRESS Music : Tumepewa zawadi ya Gari na Me. ASSUMANI KANGETA. Tazama Interview nzima apa :
02/03/2024

BAGRESS Music : Tumepewa zawadi ya Gari na Me. ASSUMANI KANGETA.

Tazama Interview nzima apa :

#

Au début c'est la parole 🙌🙌Ukweli uko hapa👇👇
10/10/2023

Au début c'est la parole 🙌🙌

Ukweli uko hapa👇👇

Adresse

Uvira

Téléphone

+243971208770

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Paparazzi Kabindula publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L’organisation

Envoyer un message à Paparazzi Kabindula:

Partager