Weather Mtaani We are a group of leaders, called Weather Mtaani based in Kibera.

We are creating awareness on how to use weather information to plan and to prevent disasters in informal settlements such as flooding, fire, and disease outbreaks, etc.

Nairobi County weather forecast. Weather Mtaani: Watabiri wa hali ya hewa (KMD), wametangaza kwanzia leo Sato 19/10/2024...
20/10/2024

Nairobi County weather forecast.
Weather Mtaani: Watabiri wa hali ya hewa (KMD), wametangaza kwanzia leo Sato 19/10/2024 hadi Friday 25/10/2024 wiki ijayo , kunauwezekano wa mvua kubwa kwa muda mfupi asubuhi na mchana ikiambatana na migurumo ya radi, isipokua Tuesday hadi Friday asubuhi kunauwezekano wa vipindi vya jua, Sehemu Nyingi mwa Nairobi. Tunawashauri kujikinga kutokana na mvua kwa kubeba miavuli.
.

07/09/2024

Weather Mtaani: Watabiri wa hali ya hewa (KMD), wametangaza kwanzia leo Sato 7/09/2024 hadi Friday 13/08/2024 wiki ijayo, kunauwezekano wa vipindi vya jua vikiambatana na mawingu na baridi kwa siku nzima, isipokua Tuesday mchana kunauwezekano wa mvua nyepesi, tunawashauri kujikinga kutokana na baridi kwa kuvalia nguo nzito na tuchunge wire za stima zisiwe wazi. .

30/04/2024
Weather Mtaani: Watabiri wa hali ya hewa (KMD), wametangaza kwanzia kesho Sato 27/04/2024 hadi Friday 3/05/2024 wiki ija...
26/04/2024

Weather Mtaani: Watabiri wa hali ya hewa (KMD), wametangaza kwanzia kesho Sato 27/04/2024 hadi Friday 3/05/2024 wiki ijayo, kunauwezekano wa mvua kubwa ya ngurumo na radi kwa muda mfupi wiki nzima, inayo weza sababisha mafuriko sehemu nyingi mwa Nairobi, Tunawashauri muepuke maji yanayo enda na tuzuie watoto wasicheze karibu na mto. .

25/04/2024

Adresse

Kibera

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Weather Mtaani publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager