03/08/2026
MWANGA WA LEO
Leo, tulia na sikiliza moyo wako—
Mwanga hauko mbali, uko ndani yako.
Selasini hii, achilia yote yasiyokujenga,
na uruhusu nuru yako iangaze kwa uhuru.
Wewe ni Mwanga.
Ndani ya Asili Mwanga Huanza - Ndani ya asili Mwanga Hukomaa. HMAD.