14/06/2026
Am'Jambo Kule !
Bila shaka mmesikia kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola nchini Congo.
Lakini je, mnajua ni tafauti gani inayo patikana kati ya mlipuko huu nazengine zile za zamani ?
! Vitendo (ma gestes) gani na takiwa kuji hazari navyo kwaku ji kinga na ku wa kinga wapendwa wangu ?
A Bassi, nini twa takiwa ku chukuwa k**a mwenendo kwaku ji kinga na ugonjwa huu?
Katika video hii, Converge Assistance inaeleza kwa uwazi na kwa lugha rahisi mambo yote unayopaswa kujua kuhusu Ebola ili uelewe vizuri namna yakujikinga.
- Tazama video iyi, upate taarifa, na ushiriki kwaku tumiya wengine piya ili wa julishwe.
Ni sherti, tuwe macho kwa pamoja ili tu weze kulinda jamii zetu.