14/01/2026
🤔TUME POTEA SOTE BILA HABARI 😭
Sikiya ndugu yangu, ukitizama hakika ni nzuri, ina vutia kwa urembo wake, ila m'baya zaidi, ule ule wake ndiwo unao kumaliza bila wewe kujuwa,
👉👉Na kadhalika
🤔Takribaini Asilimiya Themanini ya watu wana shiriki haya Mambo 😭kiasi ya kwamba, hakili zime changanyikiwa, 😡
Ukistaajabu kuona miujiza ya musa,😱 jiandae kuona ya Firaoni, 🥱watu tuna kwenda wapi, gomboeni mda