03/07/2026
JUMUIYA YA AHLUS SUNNAH-WAL-JAMMAH BURUNDI (COSUBU)
"Ndugu zangu vijana, nawasalimu Asallam Allaikum Warrahmatullah Wabarrakatuh. Leo nataka kuwakumbusha kuwa ujana ni k**a dhahabu; una thamani kubwa lakini unapita haraka sana. Huu ndio muda wa kuwekeza kwenye akili zenu, afya zenu, na kazi zenu. Tusipoteze muda kulalamika kuhusu changamoto, bali tuwe sehemu ya suluhisho. Kila mmoja wenu ana uwezo mkubwa wa kubadilisha maisha yake na jamii inayomzunguka. Anza sasa, kwa rasilimali uliyonayo!"
🎙️ SHEIKH HARERIMANA HASSAN J. | Ligue des jeunes cosubu