Communauté Islamique Shia Ithna Sheria du Burundi -cisiabu

Communauté Islamique Shia Ithna Sheria du Burundi -cisiabu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Communauté Islamique Shia Ithna Sheria du Burundi -cisiabu, Nonprofit Organization, Kinama, Bujumbura.

Mnamo tarehe 1/4/2026 katika masjid Gitega pamefanyika uchaguzi wa kamati ya baraza lama Sheikh ikisimamiwa na viongozi ...
02/04/2026

Mnamo tarehe 1/4/2026 katika masjid Gitega pamefanyika uchaguzi wa kamati ya baraza lama Sheikh ikisimamiwa na viongozi vya CISIABU na Mshahuri Mkuu wa Jumuhia hiyo(Sada Rugunda),twapongeza waliochaguliwa

Viongozi wa baraza lama Sheikh inchini Burundi katika Jumuhia ya ki Islam Shia Ithna Ashara nchini Burundi (CISIABU) iki...
02/04/2026

Viongozi wa baraza lama Sheikh inchini Burundi katika Jumuhia ya ki Islam Shia Ithna Ashara nchini Burundi (CISIABU) ikiongozwa na Sheikh Mkuu Khamiss Swadiq

Uongozi wa Jumuhia ya ki Islam Shia Ithna Ashara (CISIABU) wakishirikiana na Baraza lama Sheikh inchini Burundi wanatowa...
23/03/2026

Uongozi wa Jumuhia ya ki Islam Shia Ithna Ashara (CISIABU) wakishirikiana na Baraza lama Sheikh inchini Burundi wanatowa shukran kwa wakarim wamejitolea sadaka zao za Eid Fitri kwa kuwagawia wa umini,Allah awazidisheni riski inshallah

Swala ya Eid Masjid Buyenzi 9è Av na Sheikh Mansur
21/03/2026

Swala ya Eid Masjid Buyenzi 9è Av na Sheikh Mansur

CISIABU WISH EID MOUBARAK TO ALL MUSLIM ESPECIALY AHLULBAIT RASUL IN THE WORLD
21/03/2026

CISIABU WISH EID MOUBARAK TO ALL MUSLIM ESPECIALY AHLULBAIT RASUL IN THE WORLD

21/03/2026

Allahuma swali ala Mohamad wa Ali Mohamad

Jumuhia ya ki Islam nchini Burundi imepokea sadaka kutoka kwa Sheikh Jabir na Sheikh Mansur,Allah awape nguvu ya kutumik...
21/03/2026

Jumuhia ya ki Islam nchini Burundi imepokea sadaka kutoka kwa Sheikh Jabir na Sheikh Mansur,Allah awape nguvu ya kutumikia jamii yetu inshallah

Jumullia ya ki Islam Shia Ithna Ashara nchini Burundi inapongeza wa kinamama wa masjid Hussein kinama Bubanza kwa kujito...
14/03/2026

Jumullia ya ki Islam Shia Ithna Ashara nchini Burundi inapongeza wa kinamama wa masjid Hussein kinama Bubanza kwa kujitolea kufturisha wa Islam wa huyo muskiti wakishirikia na Sheikh Said,Allah awalipeni inshallah

Communauté Islamique Shia Ithna Ashara du Burundi (CISIABU) inapongeza kiongozi mkuu Ayatollah Mojtaba Khamenei kwa kute...
10/03/2026

Communauté Islamique Shia Ithna Ashara du Burundi (CISIABU) inapongeza kiongozi mkuu Ayatollah Mojtaba Khamenei kwa kuteuliwa kuongonza IRAN,Allah abariki Iran na raia wa Iran

Labayka ya Rasulallah
06/03/2026

Labayka ya Rasulallah

Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, Allahuma swali ala Mohamad wa Ali Mohamad, mwakaribishwa nyie wote inshallah
06/03/2026

Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,
Allahuma swali ala Mohamad wa Ali Mohamad, mwakaribishwa nyie wote inshallah

Umuryango waba Islam Shia Ithna Ashara wo mu Burundi (CISIABU)urahojeje aba Islam baba Shia naba Islam bo mu bindi bihug...
01/03/2026

Umuryango waba Islam Shia Ithna Ashara wo mu Burundi (CISIABU)urahojeje aba Islam baba Shia naba Islam bo mu bindi bihugu urupfu rw'umukuru wikirenga Ali Khamenei,Inna lilahi wa inna lilahi rajiun

Address

Kinama
Bujumbura

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Communauté Islamique Shia Ithna Sheria du Burundi -cisiabu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share